Kwani Amrabati hakucheza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😝😝
Kwani Amrabati hakucheza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi hatutaki kuja kuongea naye huku kwny jukwaa lao...tunaomba aje kule tumalizane naye kishkaji tu...na kuna Allypipi naye aje kule...michezo ni uungwana na urafikiFlano mkuu karibu jukwaani kule
Bila mabavu wala kelele waje tungee yaishe.Sisi hatutaki kuja kuongea naye huku kwny jukwaa lao...tunaomba aje kule tumalizane naye kishkaji tu...na kuna Allypipi naye aje kule...michezo ni uungwana na urafiki
Usiseme tu maguire sema don maguire akisema amesemaa 🤣😂Maguire anatoa maelekezo uwanjani.
Usikilizwe mkuu, una hojaTumepoteza mechi kwa uzembe wa wachezaji wachache tu hasa por marking ua beki zetu, ila kiufupi kocha hawezi kupewa lawama maana hakukuwa na option ya Erksen nje, leo huyu bwana katugharimu maana alichoka sana, pia wadau leo mtakubaliana na mimi Antony akifanyiwa sub huwa tunapata majanga sana.
Nilichokifurahia ni hatari ya timu yetu waliyopeleka kule mbele baada ya Hodjlund kuingia naamini baada ya international break tutaiona utd ya tofauti kabsa
Hivi sheria mpya ya kuotea si mpka mtu azidi mwili mzima au mimi ndio sijailewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu mpira wa ujanja ujanja tutacheza Hadi lini kocha wangu?[emoji17] kila big mechi sisi kubana mbupu tu aaah siku hizi hata na Timu ndogo.
Karibu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Hodi humu ndani
Kosa kubwa kocha alilofanya ni kuwaingiza Maguire na Evans wacheze kwa pamoja kwenye mechi yenye uzito Kama hii wakati hawajai kucheza mechi hata moja.Tumepoteza mechi kwa uzembe wa wachezaji wachache tu hasa por marking ua beki zetu, ila kiufupi kocha hawezi kupewa lawama maana hakukuwa na option ya Erksen nje, leo huyu bwana katugharimu maana alichoka sana, pia wadau leo mtakubaliana na mimi Antony akifanyiwa sub huwa tunapata majanga sana.
Nilichokifurahia ni hatari ya timu yetu waliyopeleka kule mbele baada ya Hodjlund kuingia naamini baada ya international break tutaiona utd ya tofauti kabsa