kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Bonge moja la point
Ni kama wewe ulivolambwa kimoko jana.Nyie NYUMBU FC aka FEMINIST UNITED kwa kikosi hicho hamtoboi nawambia.
Angemuweka naniHuyu kocha ni mbwa sana..Martial na Erickson wanaanzaje. Asenane wana mbio, ni kumtesa tu Casemiro hapo kati apigwe card ya mapema.View attachment 2737719
Tena?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu kocha ni mbwa sana..Martial na Erickson wanaanzaje. Asenane wana mbio, ni kumtesa tu Casemiro hapo kati apigwe card ya mapema.View attachment 2737719
[emoji23][emoji23][emoji23]Aya ni matakataka yanakutana ivyo acha yafungane tu[emoji24][emoji24][emoji24]
Hata ningekuwa mm nisingeuza kisa mabango ya mashabikiJamaa sio wauzaji. Wanashindwa tu kuweka wazi kwamba hatuuzi ili kuwazuga mashabiki.
RashfooooooooordMkuu unapenda malalamiko hivi kikosi Cha sub ukioni ukimtoa ericksen acheze Nani pale?