Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu avatar yako inasapot Mambo ya kishoga

Waheshimishe nyumbu wenzako, ondoa hiyo picha Mara moja
Wabongo vichwa maji, kila kitu ni kukalili, mkiona rangi zimechangamana mnaanza kusema ushoga, lakini hii yote unaonesha unagawa makalio ndio maana ushoga umekukaa akilini kila kitu unaona ushoga
 
Wabongo vichwa maji, kila kitu ni kukalili, mkiona rangi zimechangamana mnaanza kusema ushoga, lakini hii yote unaonesha unagawa makalio ndio maana ushoga umekukaa akilini kila kitu unaona ushoga
Usitumie nguvu nyingi au kubwa kutetea huo ujinga mkuu
Toa picha hiyo, kwa heshima ya Wana nyumbu na jf kwa ujumla
 
kuna muhuni fulani anashabikia real madrid anapatikana mitaa ya twitter,
anadai kufanya vibaya kwa manchester united ndio kunazidi kuifanya ligi ya Uingereza kuwa maarufu zaidi na zaidi.

ukienda kwenye mitandao ya kijamii utakuta jambo lolote linalohusu manchester united ndio linapewa muda zaidi wa kujadiliwa.

mechi dhidi ya spurs tulinyimwa penalty ya wazi lakini hakuna referee wa zamani wala mchambuzi aliyezungumzia sana swala lile.

cha ajabu mechi dhidi ya nottingham forest, baada ya tukio la penalty na red card tumeshuhudia wiki nzima yanajadiliwa matukio mawili hayo kuanzia talk sport, sky news, bbc, na tovuti nyengine za kijamii.

man utd wakisajili au kuhusishwa na mchezaji anatrends kwenye mitandao kuliko trending ya man city kubeba treble.

hii imekaaje?
Chief-Mkwawa
Hiyo Manchester United ni Timu ya Dunia mkuu
 
Kama ilivyokawaida, usiku wa deni haukawii kukucha

Mnakula chuma kuanzia 3 kavu
Mpira mkubwa

Kwa kifupi tuna-wabaka mbele ya kandamnasi
 
Attachments

  • IMG-20230902-WA0008.jpg
    IMG-20230902-WA0008.jpg
    45.1 KB · Views: 1
Wabongo vichwa maji, kila kitu ni kukalili, mkiona rangi zimechangamana mnaanza kusema ushoga, lakini hii yote unaonesha unagawa makalio ndio maana ushoga umekukaa akilini kila kitu unaona ushoga
Acha matusi...jibu swali
 
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha

Ni siku nyingine tena ya ngarambe Safi kutandazwa.

My prediction

Arsenyani 1 vs Manchester United 3

12.30 jioni

Emirates stadium

Wenger orphans mnachocheza nacho hamkijui hakika kitawaramba kweli kweli.

Leo kauli mbiu ni moja tu.

Pigaaaaa
Uaaaaaaa
Chinjaaaaa
Malizaaaaa

Aaaah tutacheka sana leo
1693728351308.jpg
 
Back
Top Bottom