Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,602
- 55,758
Leo mimi pia nimeanza kupata wasiwasi kuhusu Onana. Goli la pili alipaswa kutema siyo kushika mpira ule.
Kwa hii style yake ya udakaji. Premier league strikers wata mla mchana kweupe
Leo mimi pia nimeanza kupata wasiwasi kuhusu Onana. Goli la pili alipaswa kutema siyo kushika mpira ule.
Goal la 2 lilikuwa hovyo kabisa.Leo mimi pia nimeanza kupata wasiwasi kuhusu Onana. Goli la pili alipaswa kutema siyo kushika mpira ule.
Leo mimi pia nimeanza kupata wasiwasi kuhusu Onana. Goli la pili alipaswa kutema siyo kushika mpira ule.
Yamekuwa hayo mkuu?Hii timu ya hovyo mbovu sanaaaa.
Haipo kishindani wala hakuna jipya kwa Man u zama hizi
Pole mkuuSub zimetuumiza izi na refa likipara lile likichezesha mechi lazima tufungwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sub zimetuumiza izi na refa likipara lile likichezesha mechi lazima tufungwe.
Chupi imembana huko alikoFlano mkuu karibu jukwaani kule