trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 764
- 1,414
Niwatakie heri mashabiki wenzangu wa United mpaka msimu utakapoisha.
View attachment 2721940
Naungana pamoja nawe comrade [emoji2219]
Niwatakie heri mashabiki wenzangu wa United mpaka msimu utakapoisha.
View attachment 2721940
Tulio liona toka mwanzo tulionekana tuna chukiRashford hakuna mchezaji pale
Ndg zng mpr unaocheza huu wa pata potea.
Ipo siku mtakutana na dhahama mbya.
Kwnz leo kocha kaanza na mtu 3 mbele pale zote tia maji.
Casemiro amekua kana kwamba ameshasahau kucheza mido.
Mount, ni mapema kusema lkn naamin Chelsea wanachekea sana chooni kufanya hivyo biashara zidi yenu,tena mka mbless na no. 7 mgongon mkosi juu ya majukumu mazito ya jezi.
Hata Rashford leo amekuwa takataka?
Kbs yan hawa kikosi chao hiki wakileta mzaha hata top 4 kuzama itakua heka heka.Tatizo kocha nae ananunua takataka kama akina Anthony. Mpaka kuja kununua wachezaji hasa na kuondoa takataka zilizokuwepo kama akina Rashford itachukua muda
[emoji23][emoji23]DahUmetolea mfano WA ajabu sana....Argentina ile ilikuwa na watu wa kazi....hii Man U unaona mtu wa kazi nani...ni kama walikusanyana nusu saa kabla ya mechi wakagawana jezi wakaingia uwanjani kucheza.....wapowapo tu...inasikitisha kwakwli
City leo anaweza kufa kweliImebaki dakika kumi tu mbaguzi kipara afundishwe adabu na Newcastle. Manchester city watanyukwa 3-0
Hili ndo kosa kafanyaTen Hag Kaiona Performance Ya Timu Yake Mechi Na Wolves Af Bado Leo Kaenda Na Lineup ile Ile [emoji23][emoji706]
Inaonesga mpira hauufahamu vizuri, lipi kosa la Moynt na Casemiro kwenye hii mechi, kosa lipo iwa safu ya ushambuliaji hasa Rashford yaani huyu jamaa ni tia maji tia maji tu na ndio maana kila mchezaji akicheza naye araonekana mbaya the same na Maguire.December kwa combination hii ya casemiro na mount ,mkuu au unasubiria miujiza ,hiyo combination haiwez ku work ikikutana na viungo wajuaji
Pole sana Mzee Baba, CC Ze dudu.Bado hajafukuzwa tu.
Huu ndo ukweli mount wanamlaumu bureInaonesga mpira hauufahamu vizuri, lipi kosa la Moynt na Casemiro kwenye mechi hii, kosa lipo iwa safu ya ushambuliaji hasa Rashford yaani huyu jamaa ni tia maji tia maji tu na ndio maana kila mchezaji akicheza naye araonekana mbaya the same na Maguire.
Hujabatizwa tu ili uokoke na kuacha huu UNAFKI [emoji848][emoji2960]Eric wewe Eric jasusi
Ujuaji wenu unanifurahishaga Sana ,narudia combination ya Bruno casemiro na mount haiwez kufanya Kaz mkikutana na viungo na mifumo yakueleweka ,tuliona vs Wolves mlivyonyanyasika na hao wolves wameondokewa na wachezaji wengi, plus kocha wao alikuwa na wiki 1 tu .Inaonesga mpira hauufahamu vizuri, lipi kosa la Moynt na Casemiro kwenye hii mechi, kosa lipo iwa safu ya ushambuliaji hasa Rashford yaani huyu jamaa ni tia maji tia maji tu na ndio maana kila mchezaji akicheza naye araonekana mbaya the same na Maguire.