Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndg zng mpr unaocheza huu wa pata potea.

Ipo siku mtakutana na dhahama mbya.

Kwnz leo kocha kaanza na mtu 3 mbele pale zote tia maji.

Casemiro amekua kana kwamba ameshasahau kucheza mido.

Mount, ni mapema kusema lkn naamin Chelsea wanachekea sana chooni kufanya iyo biashara zidi yenu,tena mka mbless na no. 7 mgongon mkosi juu ya majukumu mazito ya jezi.
 
Nashindwa kuelewa tatizo la hii team. Kocha ten hag namkubali na kumwamini sana nikikumbuka kazi zake na ajax kwenye uefa.

.ajax haina misuli ya pesa kama man u
.uwepo wake pale ajax alichukua ubingwa mara 3 mfululizo

.alipoondoka tu, ajax imeyumba.

.show yake uefa tulikuwa tunaiona hasa alipowavuruga vigogo ulaya kama madrid, chelsea, tottenham, n.k.

hili tim la man u lina tatizo gani mpaka inakuwa hivi?
 
Chuma ni 2

Nyie endeleen na porojo lkn siku mtakuja kujuta nawaambia.

Izi takataka mlizozikumbatia ipo siku zitawaletea aibu ya karne.
 
Nashindwa kuelewa tatizo la hii team. Kocha ten hag namkubali na kumwamini sana nikikumbuka kazi zake na ajax kwenye uefa.

.ajax haina misuli ya pesa kama man u
.uwepo wake pale ajax alichukua ubingwa mara 3 mfululizo

.alipoondoka tu, ajax imeyumba.

.show yake uefa tulikuwa tunaiona hasa alipowavuruga vigogo ulaya kama madrid, chelsea, tottenham, n.k.

hili tim la man u lina tatizo gani mpaka inakuwa hivi?
Hii timu ni yakuvnjwa kila kitu imejaa wanafki ma Feminist ma gay na poor governance structure

Ni kuuzwa na kufuma upya kila idara wanaipeleka peleka tu afu kwa kusifia mipira ya counter attack

Iliniuma sana kumsikia bruno alipo hojiwa baada ya mechi na kusema tulizidiwa kila kitu na wolves walicheza vizur ila sio hilo tu tulizidiwa hadi mipira yetu ya counter attack kwani sisi ni wazuri sana kwenye mipira hio

Nikasikitika dah no plan no structure no principles no rules ni huzuni

#Glazerz fukin out
 
Back
Top Bottom