Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hili pila gwaride TH akiendelea mwezi wa 12 ataondoka.

Man u tunacheza mpira kama tuko championship. Tim ina laana hii *****

Match day 4 Arsenal, tutapigwa tufe
 
Aibu mbona ilipatikana msimu uliopita kwa kupigwa 7-0, na kwa aina ya hii timu kuna kupigwa 10 msimu huu.
Niliwaambia humu majuzi game ya wolves kua kuna siku wasipo kua makini watakula double figures ya magoal.

Man u ukiangalia kikosi chao bado wana Takatak nyng sana wanazikumbatia.

Ifike sehem wachezaj wengne unawavunjia hata mkataba unamlipa hela zake zote unamwambia sikutaki we ondoka tu.
 
Hii front 3 haitatupa cha maana. Rashford anapoteza sana mipira na nafasi za kufunga.

Ningekuwa kocha Garnacho, Rashford & Antony hawarudi 2nd half.

Toa Rashford weka Bruno uongo 9, Sancho LW, Pellistri RW & Eriksen #10.

Bruno anapiga mpaka Rabona halafu kuna kiazi kinakosa na ndio striker.
Yaani huyu kocha anauzembe, nimeshangaa Garnacho na Rashford..
.watu wanamlaumu mount ila shida ni washambuliaji
 
Back
Top Bottom