Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Alafu utakuta kuna mtu anashangilia Greenwood asirudi utafikiri ali bakwa yeye

Yani hapa kinachotokea ni adhabu dhidi ya missed chances zetu zote tokea first half

Slowly naanza kuelewa kwanini baadhi ya watu wana miliki bastora maana sio kwa uozo huu hapo mbele
 
Yani leo tunafungwa kwa uzembe wa wachezaji na kocha wao na benchi la ufundi lote.
Tumekosa chances nyingi sana 1st half, kiufupi team haijakamilika kabisa. Na bado unasikia kusajili kumesimama mpaka tuuze, aloo 😀
 
Back
Top Bottom