Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu hata tumlete Guardiola bado tutamuona takataka
Hapa ni kufumua kila kitu kianze upya

Glazerzz Out
 
Ni swala la muda mtaelewa ninachozungumza daily kuhusu Erik 7 hag a Dutch Tony pulis

Ukiangalia Chelsea ,Spurs tayari Wana identity ya uchezaji sababu makocha wao Wana uwezo mkubwa

Nimekuwa nikihoji na nitaendelea kuhoji uwezo wa a Dutch David Moyes Erik 7 hag,

Ninachoomba tu wasije mpata Roberto Di zerbi
De Zerbi ni kocha wetu ajaye ole wako uje kumponda

Kwa madudu ya viongozi wetu kocha yoyote anafeli labda aje Glazers wakiwa washaachia timu
 
Tottenham haina mpira wwte wa maana , ni kuwa wamekutana wote wanajifunza kucheza mpira wa Pasi aliyetangulia kuimprove ndo ameshinda , huwez kumponda konte Kwa hzi mechi mbili
Conte Mimi nilianza kumponda mechi za awali kipind wachambuzi uchwara wanaipa Spurs u title Contender, kwa ule mpira huwez toboa EPL ya Sasa Kuna standard zimewekwa ,Kuna mpira unalazimishwa ucheze ili uokote points

Conte kufika February akatupa taulo wale wale waliompa u title Contender wakamgeuka

EPL ya Sasa ukimleta hata Jose Mourinho wanaweza mshusha hata daraja

Wale wolves ni wakawaida Sana lakin niliona vs manjesta walikuwa Bora ,kawaangalie leo walicheza na Brighton ya Di zerbi ambayo inacheza soka hatari Sana ,walivyonyanyasika
 
Ni swala la muda mtaelewa ninachozungumza daily kuhusu Erik 7 hag a Dutch Tony pulis

Ukiangalia Chelsea ,Spurs tayari Wana identity ya uchezaji sababu makocha wao Wana uwezo mkubwa

Nimekuwa nikihoji na nitaendelea kuhoji uwezo wa a Dutch David Moyes Erik 7 hag,

Ninachoomba tu wasije mpata Roberto Di zerbi
Unaongea Kwa mahaba tuuu , subiri ifike December
 
Tatizo ni nini wakuu? Ni kocha au wachezaji? Msimu wa pili huu sioni Tenhag anachofanya.
 
Niliwaambia humu majuzi game ya wolves kua kuna siku wasipo kua makini watakula double figures ya magoal.

Man u ukiangalia kikosi chao bado wana Takatak nyng sana wanazikumbatia.

Ifike sehem wachezaj wengne unawavunjia hata mkataba unamlipa hela zake zote unamwambia sikutaki we ondoka tu.
Tatizo kocha nae ananunua takataka kama akina Anthony. Mpaka kuja kununua wachezaji hasa na kuondoa takataka zilizokuwepo kama akina Rashford itachukua muda
 
Conte Mimi nilianza kumponda mechi za awali kipind wachambuzi uchwara wanaipa Spurs u title Contender, kwa ule mpira huwez toboa EPL ya Sasa Kuna standard zimewekwa ,Kuna mpira unalazimishwa ucheze ili uokote points

Conte kufika February akatupa taulo wale wale waliompa u title Contender wakamgeuka

EPL ya Sasa ukimleta hata Jose Mourinho wanaweza mshusha hata daraja

Wale wolves ni wakawaida Sana lakin niliona vs manjesta walikuwa Bora ,kawaangalie leo walicheza na Brighton ya Di zerbi ambayo inacheza soka hatari Sana ,walivyonyanyasika
Utasikia ssa hiv ze greb to nyumbu fc
 
Back
Top Bottom