Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

De Zerbi ni kocha wetu ajaye ole wako uje kumponda

Kwa madudu ya viongozi wetu kocha yoyote anafeli labda aje Glazers wakiwa washaachia timu
Yule kwa uongoz wa manjesta hawawez mleta , yule namuogopa kuliko hata Guardiola

Yule mbwa ana tactics

Pep ukimpa Brighton anashuka nayo daraja vzr tu

Arsenal tuliwahi cheza na Di zerbi akiwakosa Caicedo ,Mac Allister, pale Kati .Alitupigia mpira sijawahi ona

Pep Guardiola anamjua vzr huyo mwamba

Klopp aliwahi ulizwa maswali mechi mbili mfululizo anakosa majibu, klopp simnamsifia kwa Pressing, alikuwa ana press kwa njia zote na hafanikiwi .

Pep Guardiola akasema kwasasa duniani Hakuna buildup Kama ya Di zerbi ,ukipress kwa njia zote anakuchomoka
 
Niwatakie heri mashabiki wenzangu wa United mpaka msimu utakapoisha.
images (1).jpeg
 
Hata Argentina kwenye kombe la dunia ilianza vibaya kwa kufungwa na Saudia lakini baadaye wakatwaa WC alisikika shabiki wa mani aking'aka.
Umetolea mfano WA ajabu sana....Argentina ile ilikuwa na watu wa kazi....hii Man U unaona mtu wa kazi nani...ni kama walikusanyana nusu saa kabla ya mechi wakagawana jezi wakaingia uwanjani kucheza.....wapowapo tu...inasikitisha kwakwli
 
Unaongea Kwa mahaba tuuu , subiri ifike December
December kwa combination hii ya casemiro na mount ,mkuu au unasubiria miujiza ,hiyo combination haiwez ku work ikikutana na viungo wajuaji
 
Hizi hasira tutazimalizia kwa Arsenal we ngoja tu
Under Erik ten Hag, Man Utd have lost a PL away game against every other top 9 team from 22/23:

◉ 4-0 v Brentford
◉ 6-3 v Man City
◉ 3-1 v Aston Villa
◉ 3-2 v Arsenal
◉ 7-0 v Liverpool
◉ 2-0 v Newcastle
◎ 2-2 v Spurs
◉ 1-0 v Brighton
◉ 2-0 v Spurs

30-8 on aggregate.
 
Kuna kitu nimefikiria nje ya box wachezaji wanacheza kama hawalipwi mshahara,huenda ishu ya takeover imeathiri hadi funds movement.

Hata Chelsea wakati ule timu ikiwa kwa process hii walikuwa wapo kama sisi hii too much
 
Back
Top Bottom