Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudi palepale kuwa hamna akili


Martial yupo sokoni pia hayupo kwenye plan za kocha ndio maana anafukuziwa Hojlund,pia Scott naye anauzwa na West Ham wanamtaka japo wanashindwa kufikia makubaliano ya dau.

So kocha kutokuwa na wachezaji bora ndio puppet wa wamiliki dah sijui umeishia la ngapi aisee mbona una akili za kitoto hivi kama jamaa yako.

Kocha kuzingua hayo ni matatizo yake msianze kumpa connection na Glazers ambao hata vurugu za mashabiki zimeshindwa kuwaondoa yeye ni nani awe against nao wakati ndio waliomuajiri pamoja na wachezaji wote.


Mashabikiwa Bongo kila kitu kujifanya wachambuzi wakati hata danadana kupiga ziro,trash
tuchambulie sasa hivi vichapo tunachezea sababu gani ? martial si alingia sub ? scot alikuwa bench na kakaake maguire na striker si rashford ? kujitia ujuaji tu huna lolote
 
13 days to go kiungo kimechoka mechi ya kwanza tu,RB kunatia mashaka, frontline Hojlund kaanza na majeruhi lakini Man Utd yangu haijitikisi wala nini.
Ina maana tumemaliza kusajili dirisha hili au mimi ndio napitwa na taarifa za timu yetu?
Mkuu sitanii yani ujue kila nikitaka kulala na nikiamka kitu kingine ambacho ninaongeza kwenye maombi yangu ni kumuomba mwenyezi MUNGU atunusuru na hii Dhahma iliyopo mbele yetu.
 
Kweli wahuni sio watu.
Erick Shigongo tunakukumbusha tu hicho kiti unachokikalia walikishindwa kina Ralf Rangnick, Ole Gunnar Solskjaer, Jose Mourinho, Louis van Gaal na David Moyes.
1692481413607.jpg
tapatalk_895901484_480x480.jpg
 
Mkuu sitanii yani ujue kila nikitaka kulala na nikiamka kitu kingine ambacho ninaongeza kwenye maombi yangu ni kumuomba mwenyezi MUNGU atunusuru na hii Dhahma iliyopo mbele yetu.
Huu umekuwa ugonjwa wa United toka enzi baada ya Fergie. Inapomalizia msimu sipo inapoanzia,huwa inarudi nyuma kiubora. Msimu huu nahisi utakuwa mbaya zaidi kimatokeo kama hata Spurs tumemshindwa leo.
 
Back
Top Bottom