Usizunguke,Sema Tu,Carrick anajiharibia mwenyewe, Rashford hatakiwi kuanza XI.
Ule upande inabidi aendelee kucheza Cunha, 9 Mbeumo, 11 dogo Shea kama Amad hajapona.
BODIKwa hiyo tumekubaliana tatizo la man u ni Rashford?!
United ni ngumu sana kuitetea.Hata mimi imani yangu haikukubaliana na hilo tangun mwanzoni, ila kuna mtu ana misulin ya imani anaitwa Bagabeach
Carrick anajiharibia mwenyewe, Rashford hatakiwi kuanza XI.
Ule upande inabidi aendelee kucheza Cunha, 9 Mbeumo, 11 dogo Shea kama Amad hajapona.
Na huyu watamfukuzaView attachment 3675528
Naona mashetani mmeanza kujipanga mapema kabla mambo hayajawa mengi mkuu!
Ila Rashford mwehu. Eti alikuwa anagombea namba na wakina raphinya na Yamal??Usizunguke,Sema Tu,
Rashford atakiwi/ameisha
Man u imemkataa
Huyu waki mzingua kwenye press ana ropoka yoteView attachment 3675528
Naona mashetani mmeanza kujipanga mapema kabla mambo hayajawa mengi mkuu!
Na mimi natoka kusema kitu kama hichi tena alivyo mjinga kocha wetu anasifia ety "TULIKUWA NA DIRISHA ZURI LA USAJOLI BILA KUSAHAU TUNAE MAKAME KARUDI NI KAMA SAJILI MPYA TU" Seriously na hapo ndipo alinikata moto.Kwa hiyo wewe kwa akili yako ujio wa Rashford na kuingia moja kwa moja kwenye kikosi unaona ni sawa yaani alazimishwe yeye kuanza right wing ambayo kiuhalisia hiyo ni number ya Cuhna kisha Cuhna aanze false number 9 na number 9 halisi Sesko aanxie benchi unaona ni sawa?
Yaani kuna watu huwa ni waajabu sana mmoja wapo ni wewe. Ubovu wa timu upo wapi wakati tumeona timu hii hii msimu uliopita ilifanya vibaya chini ya Amorim kisha kulazimisha mfumo wake, akaja Carrick timu ikapaform vizuri na kufunga big six wote hadi kumaliza nafasi ya tatu.
Aliokuambia timu ikiwa na majina au usajili wa bei gali ndio inafanya vizuri ni nani? Kuna timu imefanya usajili EPL kama spurs? Je wapo nafasi ya ngapi? Hadi sasa kweny mechi tano za ligi na EFL wana goli moja.
Unachopaswa kuelewa ni kwamba wachezaji ni kama wanajeshi, huwezi kushinda vita au kupigana vita yeyote morali ikiwa chini. Na siku zote wachezaji huwa wanampambania kocha na timu, hilo unapaswa ulifahamu. Kitendo cha Carrick kusema yupo tayari kufanya kazi na Rashford hapo nilishajua anakwenda kuigawa timu. Narudia tena kusema kwa hali ilivyo sasa chini ya Carrick na uwepo wa Rashford utd hawatashinda mechi yeyote ile labda akae na wachezaji na akubali kumweka Rashford benchi.
sio kupangwa RASHFORD anatakiwa kufutwa kwenye Kikosi cha msimu huu we were Better off without him iweje sasa hivi tunamtumia kama mkombozi yani upuuzi anaoufanya Carric hata Kocha wa Primary hawezi kufanya.Carrick anajiharibia mwenyewe, Rashford hatakiwi kuanza XI.
Ule upande inabidi aendelee kucheza Cunha, 9 Mbeumo, 11 dogo Shea kama Amad hajapona.
Mimi Pia sijawahi kuwaamini Interms coach wanakujaga na upepo tu ila wakikabidhiwa majukumu wanafyata mikia ni kama RASHFORD alivyotuhunia mwaka ule kaweka Goli nyingi kumbe anamendea mkataka alivyoupata akawa na Daktari akarudi Default Mode.United ni ngumu sana kuitetea.
Imani ninayo Kwa wachezaji, lkn Sina imani na carrick toka mwanzo.
INEOS kwenye makocha wanazingua .
Nmeona mpaka vivel yule sporting director anaweza kuondoka coz anasema tunazngua kweny usajili wa makocha mpk wachezaji.
Ofcoz jamaa ukiangalia mapendekezo yake wakati wa usajili yalikuwa super.
Timu inachosha, lkn top four uhakika
Arsenal
Man city
Man u
Man u
Mimi yote 9....kaliki nimemdhau vibaya mno. Hana akili za ukuu... Kuny na wenzie walistahil heshma....yeye akamfanya rashid homeboy ampe chance attune sis, mbya zaidi hajaliNishasema toka Msimu unaanza Huyu Rashid makame anakuja kutukaba tena kwa mala nyingine watu hawakunielewa wakahisi simkubali jamaa ila ukweli ni kuwa Dogo simpendi sana hata siwezi kuelezea, ni kama unavyosema morali imeshuka haiwezekani mtu kama Cunha anahamishwa upande kisa Rashidi na Sesko kuanzia Benchi ety kisa mpuuzi mmoja aliyepelekwa Aston Villa & Barca kwa mkopo akaanza kutoa Shit kutuhusu.
Kuna vitu vinabidi vifuate misingi Toka lini mgeni akajipangia jinsi ya kuishi Carrick nae kama Punguwani tu na Tunako elekea Makame anaenda kumfukuzisha kazi kama OGS kilichomkuta maswala haya haya ya kufumbia macho ujinga.
Timu inacheza usaka usaka tu haina mvuto yani mpaka najiuliza tunaenda kupambania nini msimu huu, Malengo yetu ni yapi na Kocha malengo yake ni nini?, maana sio Kocha, wachezaji wala Wamiliki siwaelewi.
Kwenye press yake ya mwanzo wa msimu alihitimisha kuwa kurudi kwa Rashford toka kwenye mkopo ni kama usajili mpya kwa United, nilimdharau tokea siku ile Carricksio kupangwa RASHFORD anatakiwa kufutwa kwenye Kikosi cha msimu huu we were Better off without him iweje sasa hivi tunamtumia kama mkombozi yani upuuzi anaoufanya Carric hata Kocha wa Primary hawezi kufanya.
Ndio aone sasa kuwa sajili yake inalipa au alikurupuka kuongea.Kwenye press yake ya mwanzo wa msimu alihitimisha kuwa kurudi kwa Rashford toka kwenye mkopo ni kama usajili mpya kwa United, nilimdharau tokea siku ile Carrick
Ifike kipindi Mashabiki wa Man u mkubaliane na ukweli Sesko ni Average player na hajawahi kuwa mzuri hata kwenye ligi mbovu kama ya Ujerumani ambapo takwimu yake alikuwa na magoal 12 ndio msimu wake bora wakati kina Timo Werner na Christopher Nkuku wameweka magoal 26+ kila mmoja na still wamekuja Epl nawameshindwa kuwika iwe Kwa Sesko msimu wake Bora wa Ujerumani ana hizo goal? Jambo la pili mjue sio bahati mbaya makocha wawili tofauti wanakuja vipindi viwili tofauti na wote kwa pamoja wanamkalisha benchi Sesko halafu useme anaonewa au sio kwamba kiwango chake hakiridhishi???Nishasema toka Msimu unaanza Huyu Rashid makame anakuja kutukaba tena kwa mala nyingine watu hawakunielewa wakahisi simkubali jamaa ila ukweli ni kuwa Dogo simpendi sana hata siwezi kuelezea, ni kama unavyosema morali imeshuka haiwezekani mtu kama Cunha anahamishwa upande kisa Rashidi na Sesko kuanzia Benchi ety kisa mpuuzi mmoja aliyepelekwa Aston Villa & Barca kwa mkopo akaanza kutoa Shit kutuhusu.
Kuna vitu vinabidi vifuate misingi Toka lini mgeni akajipangia jinsi ya kuishi Carrick nae kama Punguwani tu na Tunako elekea Makame anaenda kumfukuzisha kazi kama OGS kilichomkuta maswala haya haya ya kufumbia macho ujinga.
Timu inacheza usaka usaka tu haina mvuto yani mpaka najiuliza tunaenda kupambania nini msimu huu, Malengo yetu ni yapi na Kocha malengo yake ni nini?, maana sio Kocha, wachezaji wala Wamiliki siwaelewi.