Pole sana Mzee Baba, CC Ze dudu.Bado hajafukuzwa tu.
Huu ndo ukweli mount wanamlaumu bureInaonesga mpira hauufahamu vizuri, lipi kosa la Moynt na Casemiro kwenye mechi hii, kosa lipo iwa safu ya ushambuliaji hasa Rashford yaani huyu jamaa ni tia maji tia maji tu na ndio maana kila mchezaji akicheza naye araonekana mbaya the same na Maguire.
Hujabatizwa tu ili uokoke na kuacha huu UNAFKIEric wewe Eric jasusi


Ujuaji wenu unanifurahishaga Sana ,narudia combination ya Bruno casemiro na mount haiwez kufanya Kaz mkikutana na viungo na mifumo yakueleweka ,tuliona vs Wolves mlivyonyanyasika na hao wolves wameondokewa na wachezaji wengi, plus kocha wao alikuwa na wiki 1 tu .Inaonesga mpira hauufahamu vizuri, lipi kosa la Moynt na Casemiro kwenye hii mechi, kosa lipo iwa safu ya ushambuliaji hasa Rashford yaani huyu jamaa ni tia maji tia maji tu na ndio maana kila mchezaji akicheza naye araonekana mbaya the same na Maguire.
Afe ,huyu Newcastle Hana mbioCity leo anaweza kufa kweli
Yeah ile nyumbu ya papatu papatuUnazungumzia default mode mkuu?
Huyo CF kila mpira atakuwa anapewa yeye tu, hiyo ni dhana potofuTatizo la Man U sio kiungo wala beki kwa sasa, tatizo lipo kwa streiker kama ni kufungwa liver na man city huwa wanafunfwa sana ila streiker wao pia wanafunga na ndio maana tunawaona bora. Tuna winger wazuri ukiachia tia maji tia maji Rashford na Martial ila kama hatuna straiker mzur wa kuwapa tension mabeki pinzani hata hawa mawinga tutawachukia bure. Leo tumecreate nafasi nyingi ila mfungaji hatuna. Naimani Hodjlund akipona akacheza na winga Sancho na Garnacho tutafunga sana
No Conte hajafanya kazi na Lukaku Chelsea ama unasema MorataHuyo CF kila mpira atakuwa anapewa yeye tu, hiyo ni dhana potofu
Chelsea ya Conte ilionekana inahitaji a CF tu iwe timu isiyofungika , akaletwa lukaku kwa£97.5m , unajua kilichotokea
Imewekwa na nani?Sasa hivi kuna benchmark imewekwa juu ya quality ya squad na kocha kama huifikii utadhalilika
De gea mmoja ni sawa na Onana kumi...mnabisha mtaona wiki ijayo na Spurs....
Wakishindwa kuokota point kwa forest wajiandae kuburuza mkia mwez huu, sisi Kama Arsenal hatuna dogo pale home, Brighton shughuli Yao hasa wakikutana viungo waliofungwa mawe miguuni wanakubonda za kutoshaHongereni Man u kwa kweli mmecheza vizuri sana ila ushindi haukuwa upande wenu.
Mmekandwa na maji ya baridi kipigo takatifu. Next time utashinda kwa kishindo dhidi ya not ferest baada ya hapo una Arsenal then brighton
Kuna mashabiki ukiwaambia hiki kitu wanabisha tuSasa hivi kuna benchmark imewekwa juu ya quality ya squad na kocha kama huifikii utadhalilika