OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,939
- 25,269
Wazee wa kamubaki hehehe amkeni amkeniiii ..mulishindwa vip kupiga zile kamubaki zenu za dkk za mwisho aise?! Bao saba mbona chache tu mungerudisha fasta 😀😀😀😀
I hope usiku wenu ulijaa mauza uza kama yote
Saba unadhani mchezo??







Dah nmecheka sana,tuwahurumien jmnI hope usiku wenu ulijaa mauza uza kama yote
Saba unadhani mchezo??
Watu wasahaulifu nyie, mshasahau raundi ya kwanza man u walishindaMwisho wa msimu ndio maana hua tunamaliza na GD 0.
Liverpool ni timu isiyokua na utu hata kidogo kila inapokutana na Man Utd.
sanaa sanaaaHizi dharau Liverpool hawezi kuzifanya mbele ya Real Madrid lkn anaweza kuzifanya mbele ya Man United na Barcelona. Inasikitisha sana.
😰😰😰😰mkuu ni huzuni na bado gemu ilikuwa inaendeleaUlimaanisha -7![]()

hii gemu ilimuhitaji malacia, AWB na sabtzerSaba ni nyingi mno hii combo ya varane na licha lilikua suala la mda tu...sema kipigo kama hiki unawakumbuka wachezaji wote waliobench mfano hii game angewekwa Sabitzer,AWB,Gernacho,Lindelof aisee inauma sanaa Case kavuruga Leo ni basi tu Rashford kacheza kama yule wa msimu ulioisha butuabutua tu Werghost daah,,Dalot wanamshushia lawama ila kajitahidi sana tu..DDG ivi kwanini kipa ni mmoja game zote waisa?? Wallah 7 ni nyingi mnoo GakpoSalah pekeake katufunga sio chini ya goli 10 kwa mech 5 vs liverpool qmnn Daah acha tutafte kibonde anaefata Soton tumpige kama tulivyompiga zile 9 sijui 8 msimu ule enzi za Pogba
Tumeloaaaa
#GGMU
Wala hamkukamiwa kila siku tunasema hii timu bado ,mech ngap mnashinda kimanyaunyau?Yaan ilikua puuh puuu goli, walitukamia sana



