Hua wanaongea sana hawa,wakishinda mechi mbili tu wanaanza kuwaza ubingwaNyie KENGE mnalala mpaka saa moja hii mna raha gani?amkeni mkajenge Taifa huko na mimba zenu za MIKOJO Saba Kenge nyinyi
Vile tunawacheck😂Kosa kubwa alilolifanya Ten Hag ni kutosikilia ushauri wangu, siku moja kabla ya mechi nilimpigia simu na kumshauri game Vs Liverpool asithubutu kuwachezesha Rafael Varane na Casemiro maana Liverpool wakiwaona uwanjani ni kama vile umekua umewatonesha kile kidonda cha kufungwa na Madrid, vyovyote itavyokua wataforce kupiga comeback ili wasonge mbele kwenye Uefa.
Jamani Liverpool sisi hata siku moja hatujawahi kuwa na ugomvi na nyie, hata maugomvi yenu na Madrid tunaomba muwe mnamalizana wenyewe kwa wenyewe, kutuingiza sisi kwenye maugomvi yenu ni kama vile mnatuonea bure tu.
Sijapenda kwa kweli jinsi mlivyotufanyia.
Usijali mkuu. Taabu na misukosuko ndiyo hukomaza akiliMkuu Jana kichwa kimeniuma sana na bora ningeenda kuangalia mpira bandani ila nikasema nilipie niangalie burudani nyumbani,
Najutia pesa yangu....
Madrid kafungwa saba? Barca mlimfunga saba? Tunakubali kufungwa kupo ila sio kufungwa 7.Tafsri ya kufungwa ni kufungwa tu iwe saba au laaah! Tumeshudia wiki kadhaa zilizopita Liverpool akistruggle na kufungwa na timu za kawaida tu na hata majuzi alipokea kipigo kutoka kwa Madrid ambaye naye alipokea kipigo kutoka kwa Barca ambaye sisi tulimfunga.
Timu yetu imeonekana kuwa na uchovu mno timu kushindania makombe yote sio mchezo, hata mechi na Westham tuliponea chupu chupu sasa unapiongia kweny mechi ya dabi na timu kama Liver lolote laweza kukutokea.
Katika mabao sabaMadrid kafungwa saba? Barca mlimfunga saba? Tunakubali kufungwa kupo ila sio kufungwa 7.
Timu iliyo timamu haiwezi kuruhusu rundo la magoli

Mmeanza porojo za kijingaWatu wanashindwa kuelewa, ile ni fatigue, mentally na physically.View attachment 2538892
Hivi mko serious mnagombea EPL au top four?Tafsri ya kufungwa ni kufungwa tu iwe saba au laaah! Tumeshudia wiki kadhaa zilizopita Liverpool akistruggle na kufungwa na timu za kawaida tu na hata majuzi alipokea kipigo kutoka kwa Madrid ambaye naye alipokea kipigo kutoka kwa Barca ambaye sisi tulimfunga.
Timu yetu imeonekana kuwa na uchovu mno timu kushindania makombe yote sio mchezo, hata mechi na Westham tuliponea chupu chupu sasa unapiongia kweny mechi ya dabi na timu kama Liver lolote laweza kukutokea.
KwenuHebu tuongee ukweli kidogo, huyu jamaa alikua anakimbilia wapi?View attachment 2538950
Rekodi mpya hii kwenye ligiMe sijawahi ona united tukifungwa goli 7 au zaidi.Au me mdogo wakuu? Maana sijawahi ona
Mwarabu pekee anayeimiliki team yakoMwarabu apewe timu haraka sana