allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,331
- 10,957
Kufungwa ni kufungwa tu hata iwe 12.Kufungwa sio ishu, ishu ni 7
Kufungwa ni kufungwa tu hata iwe 12.Kufungwa sio ishu, ishu ni 7
Huyu anaekimbia majukumu yake [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaaaMimi na Kocha wangu Potato siwezi kupigwa 4 bila na Livakuku.
Kipondo kizito mno...duh!,poleni mashetani wekundu.
[emoji38][emoji38][emoji38]nacheka lakin naogopaWatu wanafikiria hii mechi Man anafungwa watakuwa wanakosea sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kaa hapahapa mpaka dk 90 ziishe.
Liverpool hashindi hii mechi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na njaa [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Draw au tunashindaaa.. hawa vilaza hawawezi kutufunga
Tupo vibonde Chelsea FC tunasubiri kwa hamu ili Harry Potter afukuzweSaba ni nyingi mno hii combo ya varane na licha lilikua suala la mda tu...sema kipigo kama hiki unawakumbuka wachezaji wote waliobench mfano hii game angewekwa Sabitzer,AWB,Gernacho,Lindelof aisee inauma sanaa Case kavuruga Leo ni basi tu Rashford kacheza kama yule wa msimu ulioisha butuabutua tu Werghost daah,,Dalot wanamshushia lawama ila kajitahidi sana tu..DDG ivi kwanini kipa ni mmoja game zote waisa?? Wallah 7 ni nyingi mnoo Gakpo[emoji91]Salah pekeake katufunga sio chini ya goli 10 kwa mech 5 vs liverpool qmnn Daah acha tutafte kibonde anaefata Soton tumpige kama tulivyompiga zile 9 sijui 8 msimu ule enzi za Pogba
Tumeloaaaa
#GGMU
Kumsimanga majeruhi ni dhambi
Hapo ni 8 kwa 2,maana yake ni 6 kwa 0Tunacho shukuru Liverpool mjavunja hii record tu.View attachment 2538520