NgongoNgongo Ulihama arsenal ukahamia Manchester United,tangu ulivyohamia man u hakuna kombe lolote la epl alilochukua.
Na hizi goli 7 mlizobamizwa sijui una hali gani uko
View attachment 2538725
Kwishaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 watu wameka viremba leoDaah siyo sawa kabisa
Pakiti mbili za kondomu zinaisha 🤣🤣🤣
HaswaaaHii ndo Manchester tunayoijua sasa
Unapata wapi nguvu ya kukomenti na uku umetoka kuvurugwa mbele na nyuma yani bao saba siyo mchezo broo alahh😀😀😀🤣Watu wa man u wamekimbia uzi wao kabisa,hakuna hata mwenye nguvu ya ku comment