NgongoNgongo Ulihama arsenal ukahamia Manchester United,tangu ulivyohamia man u hakuna kombe lolote la epl alilochukua.
Na hizi goli 7 mlizobamizwa sijui una hali gani uko
View attachment 2538725
Kwishaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣 watu wameka viremba leoDaah siyo sawa kabisa
Pakiti mbili za kondomu zinaisha 🤣🤣🤣