D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Cody gakpo 2 - richard arnold 0
Kumsimanga majeruhi ni dhambi
Hapo ni 8 kwa 2,maana yake ni 6 kwa 0Tunacho shukuru Liverpool mjavunja hii record tu.View attachment 2538520
noma sana.Kipondo kizito mno...
Sasa kuna team za kufungwa na Man U ila sio Chelsea yaani na ukibonde wenu huohuo msishangae mkaondoka na alama 3 pale OT hii ni kuanzia enzi za Mzee fergi...kuna game Hazard alitukanda nyingi sikumbuki ngapi ila ilikua na maumivu kama ya LeoTupo vibonde Chelsea FC tunasubiri kwa hamu ili Harry Potter afukuzwe
Daah banda zima Liverpool nilikua peke yangu tu,walipokua wanatukosa kosa wanashangilia
Mambo yalipogeuka nikashangaa naongea peke yangu![]()





Marehemu alikua ana mdomo sanaKatika game ambazo Ten Hag anazipenda ni game kama hii ya leo ili awaonyeshe ni jinsi gani hamjui
Najitoa ufahamuHapo ni 8 kwa 2,maana yake ni 6 kwa 0
Leo mmepigwa 7 kwa 0
