Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo alienda kulia dressing room huyo
Kama binadamu,huruma iliniingia sana baada ya kuona jamaa ameweka sura hivyo
Yupo kama hayupo bwana Rashidi Mpemba.
JamiiForums-505920251.jpg
 
Saba ni nyingi mno hii combo ya varane na licha lilikua suala la mda tu...sema kipigo kama hiki unawakumbuka wachezaji wote waliobench mfano hii game angewekwa Sabitzer,AWB,Gernacho,Lindelof aisee inauma sanaa Case kavuruga Leo ni basi tu Rashford kacheza kama yule wa msimu ulioisha butuabutua tu Werghost daah,,Dalot wanamshushia lawama ila kajitahidi sana tu..DDG ivi kwanini kipa ni mmoja game zote waisa?? Wallah 7 ni nyingi mnoo Gakpo[emoji91]Salah pekeake katufunga sio chini ya goli 10 kwa mech 5 vs liverpool qmnn Daah acha tutafte kibonde anaefata Soton tumpige kama tulivyompiga zile 9 sijui 8 msimu ule enzi za Pogba

Tumeloaaaa
#GGMU
kwaio mngecheza14[emoji848]
 
Back
Top Bottom