Madrid kampiga 5 hapo hapoLiverpool wakiwa Anfield kama wachawi vile, leo soka la EtH limekataa kabisa.
World-class Mohamed Salah, winger zetu zinarukaruka tu, ffs.
Hope bado ipo ila sio ya kukupa confidence ukafanya online bettingVipi mkuu bado tunakosea sana au teyari tupo pamoja?
Nipo mahali hapa wanasema 'ukitaka kujua 3 nyingi waulize wanandoa'..!!😂😂😂
Nitacheka nizimie Leo..!!