Tumaini huyuhuyu wa kiwewe?Let's wait for full Time bado lipo tumaini
Leo no aibu kwa kweli, labda mnawezafanya yale maajabu ya 98 UEFA🤣🤣🤣Use.nge mtupu..
Hata siangalii tena
Kweli kabisa,mpira wa ujanja ujanja kwasasa hauna maanaTuache ujanja ujanja
Tufundishe mpira na huwa mpira halisi una take time
King nunueni hii Tim haraka🤣🤣🤣Kuna mda mtu unashikwa hasira Ila basi tu.






























