Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,557
Afu chama kubwa linaloongoza kwa Mashabiki wengi duniani linakosaje Watu waongeaji nakati kwenye msafara wa mamba huwa kenge hawakosekani?Hela usiwe nazo
Kiwango usiwe nacho
Na mdomo ukose.
Tuacheni tuchape mdomo bwana ndo raha ya ushabiki shabiki mnakuwa kama hampo vile.
Hela usiwe nazo
Kiwango usiwe nacho
Na mdomo ukose.
Tuacheni tuchape mdomo bwana ndo raha ya ushabiki shabiki mnakuwa kama hampo vile.


nimechekaWake up man wake upFeel like am dreaming.
Hata kwenye love babyHata Ihefu haiwezi pigwa bao saba kwa nunge![]()


Liva kacheza game mfulululizo pia aiseeEasy goals ,, game mfululizo zmechangia fatigue ,,,hongera livapool



Wewe msimbe njoo hapaKatika game ambazo Ten Hag anazipenda ni game kama hii ya leo ili awaonyeshe ni jinsi gani hamjui

Sure sure you are now forgottenLiverkuku anagongwa chuma mbili tu za adabu.
Dawg you know football bro