Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ten Hag: “We have beaten them [Liverpool] once this season, but we want to go for two.”

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2537993
Huyu kocha atakuja kuondoka epl kwa aibu Sana ,kama mdomo wake usipokuwa na break ....
 
Ikitokea umepewa nafasi ya kumrejesha mchezaji mmoja yeyote wa zamani kwa ajiri ya mechi ya LiverPool leo.
Je, ungemrejesha nani?..? na ni kwasababu?..?
[emoji848]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2537995
Dimitar Berbatov.
 
Ruud Van Nesterlooy
 
Kwn kuna jambo baya amesema hapo?
anatabia za kishabiki sio za ki manager ...

Huwa namshangaa Sana na kauli za "I will beat ...." Manager wanaojitambua dunia wakubwa maneno kama hayo hawawezi kuongea kwenye camera,wanaongea dressing room huko na wachezaji ....

Klopp ,pep ,morhino ,carlo huwezi mkuta anaongea pumba za namna hio hata kama anacheza na underdog .....!!

I will beat ....I will beat hizo ni kauli za mashabiki kama sisi ....sio profession al manager
 
Ndio nzuri, ili akaze kuifanya iwe kweli.

Hii ya Era Come to End inawafaa
 
Robin van Persie: “I do believe that everyone believes and feels that this #MUFC team can beat any team in the world.”

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2537991
Van persie kama hakuwahi pita arsenal anaongeleaga man u anaikubali sana
 
anatabia za kishabiki sio za ki manager ...

Huwa namshangaa Sana na kauli za "I will beat ...." Manager wanaojitambua dunia wakubwa maneno kama hayo hawawezi kuongea kwenye camera,wanaongea dressing room huko na wachezaji ....

Klopp ,pep ,morhino ,carlo huwezi mkuta anaongea pumba za namna hio hata kama anacheza na underdog .....!!

I will beat ....I will beat hizo ni kauli za mashabiki kama sisi ....sio profession al manager
Jamaa is arrogant na ni sawa tu acha awapandishe hasira wakina Potter
 
anatabia za kishabiki sio za ki manager ...

Huwa namshangaa Sana na kauli za "I will beat ...." Manager wanaojitambua dunia wakubwa maneno kama hayo hawawezi kuongea kwenye camera,wanaongea dressing room huko na wachezaji ....

Klopp ,pep ,morhino ,carlo huwezi mkuta anaongea pumba za namna hio hata kama anacheza na underdog .....!!

I will beat ....I will beat hizo ni kauli za mashabiki kama sisi ....sio profession al manager
Amesema "we want to go for two(win)"

Ni Sawa tu nakusema , "we want to win this match"

Sasa kuna Kocha gani huwa hasemi hivyo?

Angekuwa amesema " we will beat Liverpool"

Hapo ungekuwa na point.
 
Mashabiki wa Man Utd mnanenepa sana na huu mwaka ni wenu bila shaka tofauti na Mashabiki wa Chelsea.

Hakika gari hata liwe Lamborghini lakini lilikosa Dereva makini na Mahiri halitaweza kushinda hata baiskeli kwa kasi za mbio [emoji38]
 
Mwaka kesho na kuendelea ndio wetu.

Mwaka huu tunatest mitambo tuu.
 
Back
Top Bottom