tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,751
- 31,078
Liver anapigwa trust meMsijichoshe Leo matokeo hayaeleweki.
Liver anapigwa trust meMsijichoshe Leo matokeo hayaeleweki.
Halafu alitumia muda mwingi Arsenal kuliko united[emoji23]ni vile tu Arsenal haikubalikiVan persie kama hakuwahi pita arsenal anaongeleaga man u anaikubali sana
Leo mganga kachoma kibuyu[emoji23]liva ni mbovu banaMsijichoshe Leo matokeo hayaeleweki.
Arsenal ni timu ndogo sana.Halafu alitumia muda mwingi Arsenal kuliko united[emoji23]ni vile tu Arsenal haikubaliki
Kiukweli matokeo ya leo ni ngumu kuyatabiri... Hii mechi ni ngumu sanaHayaeleweki au hayako upande wetu?
Mkuu allypipi weka hivyo hivyo tu watu wanayataka kwa sababu za kibiashara zaidi kuliko ushabiki.
Hawa athletes wenzetu weusi hawataki kuoa wamatumbi sio??Happy Birthday to our own, Frederico Rodrigues de Paula Santos (Fred).
Fred to score on his Birthday.
View attachment 2538149View attachment 2538150
Usiishi kwa kukalili kijana.Pale anfield bhana wewe,, hua muna rambwa sana[emoji5][emoji5]
Wanapenda ngozi nyeupe.Hawa athletes wenzetu weusi hawataki kuoa wamatumbi sio??
Tunqchinja leoTunajipatia supu ya jogoo leoView attachment 2538195
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app