Tanzania Norway
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 338
- 658
Sanchoka wa $100Picha hazihitaji captionView attachment 2537331View attachment 2537330
Sanchoka wa $100Picha hazihitaji captionView attachment 2537331View attachment 2537330





Anfield memories over the years 





Unauzoefu wa kutosha wa kukojoa kitandani naona 🙂🙂🙂🙂Ukikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?
TupumzishweeeeeeHow do you see the rest of #mufc's month going?
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |
View attachment 2535908
Leo tutawapiga kama Ngoma na mtueleze mnapambania top 6 au top 10?Ukikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?
Si mmeingilia show isio yenu. Tukiwa nyuma kwa 2-0 nyie ndo mlikua mmejazana kwenye uzi wetu.Yani akili za arsenal fans bwana Yani mnakimbizana na city ila mnatuwaza United!
Wanashinda kwa mazingaombweUkikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?



Southgate ana chuki binafsi na Greenwood.Greenwood habari yake ishaisha hata Southgate kasema hatomwita timu ya taifa.
Unaambiwa Wiki Nzima Hii Mohammed Salah Amegoma Kwenda Nyumban Yeye Ni Mazoez Na Kufanya Ibada Anfield Imewalazim Polis Waje Wamtoe Uwanjan Na Kumpelek Nyumban.
Polisi Wamemkuta Akifanya Mazoez Huku AnaliaView attachment 2537705

tusubiri tuone kiumane leo,KENGE hawa