Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sitamsahau Fabinho na henderson mimi
739bf8e0dd61424c98a1d819baf5e045.jpg
 
Huu mpira nimeutazama leo banda umiza, yaani nimecheka mno..!! Kuna wadau wana maneno mule balaa..!!
Binadamu ni wanafki sana, kuna Mawatu yalikuwa yameibetia Man Utd kushinda hii mechi, yalivyoingia magoli mawili wakadai hii mechi itafanyika come back na Man Utd itashinda, yalivyoingia magoli matatu wakadai itaisha suluhu, walipofungwa magoli matano wakaigeukia Liverpool wakiishangilia na kuizomea Man Utd wakisema "bado la saba, bado la saba" daaah hatimaye yakawa kweli....
 
Back
Top Bottom