Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,859
Wewe ni moja ya mashabiki wachache wa man u mwenye akiliHii mechi ya leo nikiri upinzani utakua mkubwa ili tushinde mbele uchoyo unatakiwa kuachwa leo.
Kila chance itumike vizuri.
Vinginevyo tunatoka anfield kichwa chini.
Come on boys
Jogoo afe tu
Mwingine ni baba yangu








