Jimny
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 353
- 858
Halafu alitumia muda mwingi Arsenal kuliko unitedVan persie kama hakuwahi pita arsenal anaongeleaga man u anaikubali sana
ni vile tu Arsenal haikubalikiHalafu alitumia muda mwingi Arsenal kuliko unitedVan persie kama hakuwahi pita arsenal anaongeleaga man u anaikubali sana
ni vile tu Arsenal haikubalikiLeo mganga kachoma kibuyuMsijichoshe Leo matokeo hayaeleweki.
liva ni mbovu banaArsenal ni timu ndogo sana.Halafu alitumia muda mwingi Arsenal kuliko unitedni vile tu Arsenal haikubaliki
Kiukweli matokeo ya leo ni ngumu kuyatabiri... Hii mechi ni ngumu sanaHayaeleweki au hayako upande wetu?
Mkuu allypipi weka hivyo hivyo tu watu wanayataka kwa sababu za kibiashara zaidi kuliko ushabiki.
Hawa athletes wenzetu weusi hawataki kuoa wamatumbi sio??Happy Birthday to our own, Frederico Rodrigues de Paula Santos (Fred).
Fred to score on his Birthday.
View attachment 2538149View attachment 2538150


Usiishi kwa kukalili kijana.Pale anfield bhana wewe,, hua muna rambwa sana![]()
Wanapenda ngozi nyeupe.Hawa athletes wenzetu weusi hawataki kuoa wamatumbi sio??
Tunqchinja leoTunajipatia supu ya jogoo leoView attachment 2538195
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usikimbie jukwaa.
Sasa mbwa akiitwa mbwa kinabadilika nini?Mkishinda mniiite mbwa
Acha ujinga.Kocha wenu ana kichwa ka ubuyu!