Labda muazime wachezaji wa PSG wawili na Barcelona wawili na Manchester city wawili.
Na katolewa sasa
Wewe ndio hujui mpira![]()

Atakutukana na wewe, sema jamaa ana mahaba tu na fred tangu muda ndio maana ukimgusa anamtetea kila siku humu.






Ndy always nishasema humu huyo jamaa hapo mbele akiwepo mabeki wanaogopa.Katoka Werghost tunasakwa hatari
Tulikuwa tuna loose possession hatari.Newcastle united na arsenal wametupa tough game mechi zote mbili tulizokutana.
Achana na matokeo ya kushinda na kufungwa.
Uchovu umechangia sana.Tulikuwa tuna loose possession hatari.
Tupumzike hata week 1.Uchovu umechangia sana.
Toka tulipocheza Feb 1 hadi leo hapo kati tumecheza mechi 6.
Including Barcelona away na home.
Huku Newcastle wamecheza mechi 3 tuu.
Kwhy sijashangaa NU kumiliki mpira namna hiyo.
Licha ya umiliki wote huo, wame manage 2 Shoots on Target.
Ten Heisenberg View attachment 2531045
Yap.Tupumzike hata week 1.
Hii fatigue itakuja kutuumiza siku moja.
Kocha wa makombe
Ukiwapumzisha ni mwanzo wa kuharibu moto wa wachezaji acha wacheze atakaye choka atakuwa substitutedYap.
Mechi ya West Ham inabidi apumzishe first eleven yote.
KamchukueHuyu Wout na Aboubakar Vincent namchukua Vincent
Msouth afrika simuoni hapoErik ten Hag lifts the cup with his backroom staff
#CarabaoCupFINAL
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2531055
Timu imekuwa disciplined sanaUchovu umechangia sana.
Toka tulipocheza Feb 1 hadi leo hapo kati tumecheza mechi 6.
Including Barcelona away na home.
Huku Newcastle wamecheza mechi 3 tuu.
Kwhy sijashangaa NU kumiliki mpira namna hiyo.
Licha ya umiliki wote huo, wame manage 2 Shoots on Target.
Mwandiko wa PTER, ni wewe mkuu?Kamchukue