Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney hapana.

Hao wengine ni sawa.

Mbona timu kama Real Madrid hawana upuuzi kama huu?

Hao wakina Neville wanajiona ni first class fans.
Kila watu wana tabia kulingana na jamii watokayo. Kiujumla Waingereza ni watu wa swaga. Ndiyo maana hata ligi yao ni maarufu licha ya kutokuwa bora but are making big business out of it
 
Wembley Stadium

#CarabaoCupFINAL
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |View attachment 2530832View attachment 2530833View attachment 2530834
IMG_20230226_191503_367.jpg
 
Kila watu wana tabia kulingana na jamii watokayo. Kiujumla Waingereza ni watu wa swaga. Ndiyo maana hata ligi yao ni maarufu licha ya kutokuwa bora but are making big business out of it
Kwenye swagger nakataa.

Ni wanafki wanaotaka kila mtu afuate utaratibu wao.

Wanaona wana haki ya kuwatoa kasoro wengine.
 
Man marking anayofanyiwa Maximin ni kubwa. 3 united players whenever he has the ball.

Same marking ilibidi iwe kwa Trippier, Almiron na Bruno Ila wameignore
 
Back
Top Bottom