Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu WERGHOST nadhani baada ya mechi analala amechoka sana. Kumbe anapangwa kimkakati sana haruhusu adui awe na mpira na ajipange kuanzisha mashambulizi au kutoa pasi ya maana, muda wote yuko mahali mpira ulipo. Anawapa shida sana wapinzani.
Ten hag ni genious, niambie ni kocha gani amewahi kusajili striker wa kufanya hivyo? Na mwanzo wengi wetu tulikua hatuoni umuhimu wa Werghost kwenye kikosi tukitaka awe anafunga tu
 
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha

Prediction

Manchester United 2 vs Newcastle 0

Time
1.30

Stadium
Wembley

Last match

Manchester United 0 vs Newcastle 0

Sasa wewe wa betie Newcastle hafu tuone kama hayo magoli utawafungia wewe.

GGMU View attachment 2530621
Once again hadi sasa naanza kuamini wewe ni mchawi sio bure
 
Back
Top Bottom