D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Newcastle united na arsenal wametupa tough game mechi zote mbili tulizokutana.
Achana na matokeo ya kushinda na kufungwa.
Achana na matokeo ya kushinda na kufungwa.












Mngekuwa na bao tatuHii ndiyo Man Utd ninayoijua mimi sasa.
Mara oooh goli la kwanza offside, toa la kwanza weka la pili iwe Man Utd 1 - 0 New Castle.
Hongereni Wazee kwa kuwa na timu yenye mipango na kubeba kombe la carabao.
Kombe la Europa linawasubiri pia.
Chelsea Fans tunawakaribisha kutupatia pole kwa kuwa na Kocha kimeo
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwenye mpira hiyo ni kawaida, japo sometime inaweza kuicost timu. All in All, you're next. Jiandae na timu yako 😅😅😅Mngekuwa na bao tatu
Fernandez alikuwa mchoyo pale mwisho kutaka sifa ya kufunga yeye wakati angempasia mwenzie lingekuwa bao.
Ndiye anayetucheleweshaKwa kikosi chetu Man UTD, mchawi ni De Jong tu. Yani yule jamaa Kwa jinsi alivyo na composure hata under pressure, tukimpata yule, awekwe na Casemiro. Middo yetu itatisha sana.
Here are fresh tears for you