Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,215
- 44,181
Wale ambao walikua wana doubt AWB qualities, mmeona Allan saint Maximin alivyoekwa Mfukoni? Mtu ambaye kamtesa sana Dalot imebidi atolewe baada ya kucheza dakika kadhaa na AWB.
Spider anakutazama ile unafanya next move anakutamba tackle unaend hukoWale ambao walikua wana doubt AWB qualities, mmeona Allan saint Maximin alivyoekwa Mfukoni? Mtu ambaye kamtesa sana Dalot imebidi atolewe baada ya kucheza dakika kadhaa na AWB.
Ni safari ndefu ila kwa sasa tuna mtu sahihi. Hofu ipo kwa wamiliki tu.Hope, united tunaweza rudi
Baada ya World Cup Wan Bissaka has earned my respect back.Niliiamini na kuliunga mkono lile wazo la Ralf Rangnick la kuuza wachezaji wote na kuanza upya.
Kuna wachezaji niliwakatia tamaa kabisa. Nilitaka wauzwe wote ila leo wamegeuzwa kuwa key players.
Nilimshangaa Ten Hag alivyosema wachezaji wanamfaa. Leo kawageuza wote kuwa lulu.
Ten Hag ni genious. Huyu jamaa angepata wachezaji wazuri anaowataka msimu huu, tungechukua Quadruple kilaini kabisa.
Mwarabu apewe timuNi safari ndefu ila kwa sasa tuna mtu sahihi. Hofu ipo kwa wamiliki tu.
Ile break ya World Cup alitumia muda mwingi na wachezaji.Baada ya World Cup Wan Bissaka has earned my respect back.
Binafsi nilishtuka sana Ten Hag aliposema anaona potential kubwa sana na kikosi kilichopo.