Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo baada ya kuchukua taji letu la Carabao mashabiki wa Chelsea na Liverpool mtakuwa na jukumu la kuwarudisha nyumbani mashabiki wa Man United, wale wa Arsenal ole wenu tukifika banda umiza tukute viti vichafu, haiwezekani muje kuona mechi yetu halafu tusiwape kazi, tumewaita?View attachment 2530599
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
GGMU
Screenshot_20230226-220205_Instagram.jpg
 
Mama yake Rabiot alisababisha tukampata casemiro asingeweka tamaa tungenasa kwa Rabiot Frenk De Jong ni mchezaj mzur ila tusingefika hapa tulipo bila ya kuwa na casemiro bado tunashukuru yule dogo kutupiga chini katuepusha na mabalaa

Leo tunasheherekea ubingwa
IMG_3907.jpg

nguvu ya Casemiro injini ya timu
 
Na katolewa sasa

Wewe ndio hujui mpira[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3] Atakutukana na wewe, sema jamaa ana mahaba tu na fred tangu muda ndio maana ukimgusa anamtetea kila siku humu.

Wazo la kumtoa fred sio kwamba kacheza vibaya leo ila kwa kasi ya mchezo uwezekano wa kula njano ya pili ulikua mkubwa.
 
Back
Top Bottom