Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,760
- 6,331
Kama nilivyosema hapa. Sub imefanyika hivyoDalot ndio Fred hapana
Kama nilivyosema hapa. Sub imefanyika hivyoDalot ndio Fred hapana
Ten hag ni genious, niambie ni kocha gani amewahi kusajili striker wa kufanya hivyo? Na mwanzo wengi wetu tulikua hatuoni umuhimu wa Werghost kwenye kikosi tukitaka awe anafunga tuHuyu WERGHOST nadhani baada ya mechi analala amechoka sana. Kumbe anapangwa kimkakati sana haruhusu adui awe na mpira na ajipange kuanzisha mashambulizi au kutoa pasi ya maana, muda wote yuko mahali mpira ulipo. Anawapa shida sana wapinzani. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Sikuhizi tunawaachia wamiliki mpira, ila swala la kuwafunga linabaki palepale.
Leo anajitahidi sana kumsaidia wan bissaka kukaba timu isipokuwa na mpiraAntony atoke mapema, kachoka sanaaaa
Huyu ni kocha wa mpira hasaTen hag ni genious, niambie ni kocha gani amewahi kusajili striker wa kufanya hivyo? Na mwanzo wengi wetu tulikua hatuoni umuhimu wa Werghost kwenye kikosi tukitaka awe anafunga tu
Once again hadi sasa naanza kuamini wewe ni mchawi sio bure [emoji114][emoji114][emoji114]Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester United 2 vs Newcastle 0
[emoji355]Time
1.30
[emoji2522]Stadium
Wembley
Last match
Manchester United 0 vs Newcastle 0
Sasa wewe wa betie Newcastle hafu tuone kama hayo magoli utawafungia wewe.
GGMU [emoji83][emoji83][emoji83]View attachment 2530621