Manchester United (Red Devils) | Special Thread

May be kwa Chelsea

Liva imeoza,,,, pale mchezaji naemuona kiwango vile vile Ni kipa wao tu !!

City sijui wamekumbwa na Nini, wachezaji hawana morali ya kupambana ,,,, Kuna tetesi kocha amepoteza dressing room ! Seniors kama kina Kyle, kdb, gundo na cancelo unaambiwa hawana maelewano vzr na pep !

Ndo chanzo Cha cancelo kuondoka pia ,,,, ! Mechi na Spurs unamuacha kdb na gundo kweli ? City ukiwabana vzr viuongo wao haaland akikosa malisho Hana madhara !!!! Arsenal wakikaza Wana nafasi ya kumfunga Tena asubuhi tu!

Utd kuwaza ubingwa Ni too much expectation,, tupambanie top 4 ili tuwe na uhakika wa kushiriki UEFA
City hawajawahi kufanya vizuri misimu mitatu mfululizo EPL, hizo sababu zingine sidhani kama zina ukweli.
 
Lisandro Martinez will miss #MUFC's playoff fixture against Barcelona due to suspension.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230206_132942_187.jpg
 
kayachoma ndugu yenu.

Juventus deny stories and rumours reporting intention of terminating Paul Pogba's contract. It's not even a possibility considered by the club at this stage, as they're waiting for him. [emoji836]️[emoji835]️[emoji632] #Juventus

Pogba has still zero minutes since he joined in July due to injuries.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230206_132923_186.jpg
 
May be kwa Chelsea

Liva imeoza,,,, pale mchezaji naemuona kiwango vile vile Ni kipa wao tu !!

City sijui wamekumbwa na Nini, wachezaji hawana morali ya kupambana ,,,, Kuna tetesi kocha amepoteza dressing room ! Seniors kama kina Kyle, kdb, gundo na cancelo unaambiwa hawana maelewano vzr na pep !

Ndo chanzo Cha cancelo kuondoka pia ,,,, ! Mechi na Spurs unamuacha kdb na gundo kweli ? City ukiwabana vzr viuongo wao haaland akikosa malisho Hana madhara !!!! Arsenal wakikaza Wana nafasi ya kumfunga Tena asubuhi tu!

Utd kuwaza ubingwa Ni too much expectation,, tupambanie top 4 ili tuwe na uhakika wa kushiriki UEFA
City hawana tatizo lolote wanazidiwa kimbinu tu na timu zingine.

Man city hufungwa kwa namna inayofanana ukijua namna ya kumfunga utashinda ni hakika kikubwa ujue pia na namna ya kumzuia.
 
May be kwa Chelsea

Liva imeoza,,,, pale mchezaji naemuona kiwango vile vile Ni kipa wao tu !!

City sijui wamekumbwa na Nini, wachezaji hawana morali ya kupambana ,,,, Kuna tetesi kocha amepoteza dressing room ! Seniors kama kina Kyle, kdb, gundo na cancelo unaambiwa hawana maelewano vzr na pep !

Ndo chanzo Cha cancelo kuondoka pia ,,,, ! Mechi na Spurs unamuacha kdb na gundo kweli ? City ukiwabana vzr viuongo wao haaland akikosa malisho Hana madhara !!!! Arsenal wakikaza Wana nafasi ya kumfunga Tena asubuhi tu!

Utd kuwaza ubingwa Ni too much expectation,, tupambanie top 4 ili tuwe na uhakika wa kushiriki UEFA
Arsenal wanavyocheza hawawezi kumfunga Man city kirahisi hivyo.

Hata mechi yao ya kombe la FA nilisema Arsenal anavyocheza hawezi kumfunga Man City.
 
Wewe ndo unasimuliwa sasa huangalii Mimi nimeangalia sana game za Liva misimu iliopita na huu tuliopo kwakweli kusema Alison yupo kwenye kiwango ni kunajisi wanamichezo na wapenzi wa mpira....Kuanzia World cup alivuruga sana na sasa magoli anayofungwa mengne wala sio makosa ya beki lakini pia LUIS DIAZ ni mchezaji alieishape sana liva bahati mbaya injury znamwandama ila DIAZ alisaidia sanaa
At least ndiye anaeonekana walau ana ahueni ! Kina Trent, fabinho , mo, Gakpo, Nunez, Thiago, vvd(before injury) Nani alikuwa na kiwango Bora ? Mpira Ni mchezo wa wazi kila mtu anaona !
 
[emoji599] Erik Ten Hag is planning a summer clear-out at Manchester United to raise funds for new signings:

[emoji777] Harry Maguire
[emoji777] Scott McTominay
[emoji777] Anthony Martial
[emoji777] Donny van de Beek
[emoji777] Eric Bailly
[emoji777] Alex Telles

(Source: Steve Bates)

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2506531
Bado wanamwacha Phil Jones? Kenge maji kweli
 
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]

Prediction

Manchester United 2 vs crystal palace 1

Time
12:00 jioni

Stadium
Old Trafford

Last match
Crystal palace 1 vs Manchester United 1

GGMU[emoji83][emoji83][emoji83]View attachment 2505874
Ndugu mganga kwenye ubora wako
 
Point tatu za damu na machoz !!!!!

Dah, baada ya red card game plan ilivurugika

[emoji36]Tulipigwa msako haswa,,, kidogo baada ya Marcel kuingia walau kukawa na ahuen !

Martinez nadhan Ajax wanatudai chenchi,,,,, hizi ndo damu za south America, kazi tu hakuna kuremba
Oooh Martinez ni andunje hawezi kukaa beki yule pale tumepigwa atachomesha sana yule kama Maguire.
Mwana anapiga kazi kichizi
 
Back
Top Bottom