NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,984
- 12,832
Jamaa anapiga kazi sio powa mkuu,,,, spirit iko juu Sana !Oooh Martinez ni andunje hawezi kukaa beki yule pale tumepigwa atachomesha sana yule kama Maguire.
Mwana anapiga kazi kichizi
Sasa mkuu Phil Jones mkataba wake unaisha June, so hatuhusu, Labda tumuongezee mkatabaBado wanamwacha Phil Jones? Kenge maji kweli
Brand inalindwa kwa gharama yoyote ile no matter who you areNike have confirmed that their previous statement in relation to Mason Greenwood remains applicable now. It read: "Mason Greenwood is no longer a Nike athlete."
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2508548
Huyu jamaa kusurvive utd itakua miujiza sana.labda uingereza utambeba!!Brand inalindwa kwa gharama yoyote ile no matter who you are
Sasa mkuu Phil Jones mkataba wake unaisha June, so hatuhusu, Labda tumuongezee mkataba
Kwa sababu ipi? ebu tueleze mwalimu tupo tayari kusikia kutoka kwako [emoji3]Arsenal wanavyocheza hawawezi kumfunga Man city kirahisi hivyo.
Hata mechi yao ya kombe la FA nilisema Arsenal anavyocheza hawezi kumfunga Man City.
Mechi ya FA mlishinda ?Kwa sababu ipi? ebu tueleze mwalimu tupo tayari kusikia kutoka kwako [emoji3]
Siyo muumini kabisa wa ushindi wa mezani.Aseno wengi watakufa likitokea hiliView attachment 2508660
Unaugua kifafa sio bora.Write your reply... Manchester United mechi ambazo Casemiro atakuwepo uwanjani ( Barcelona na Newcastle) mtapoteza zote Ila zile ambazo hatakuwepo mtashinda.Mark my words.
New Manager boost itahusika..Kama Everton na Sean Dyche walivyowakaba koo Arsenane.Leeds wamefukuza kocha
Tutarudi hapa baada ya hizo back to back gamesNew Manager boost itahusika..Kama Everton na Sean Dyche walivyowakaba koo Arsenane.
Leeds ni team ambayo siwajawahi kuiogopa tokea wapande daraja..nadhani tutaondoka na 3 point hapa.
Kinachoamua bei ya mchezaji sokoni ni uwepo wa timu iliyo tayari kulipa bei sokoni. Enzo, Antony na Mudryk walikuwa overpriced kwa ssb ya timing mbovu pamoja desperation ya viongozi husika.Kama Anthony , Mudryk na Enzo wameuzwa 100+ Osimhen wa Napoli hawezi kuuzwa chini ya 150 unless humjui boss wa Napoli.
Koulibaly mwenyewe alimweka sokoni kwa dau la 100 sembuse Osimhen
Mimi mwenyewe ujinga wa kumnyang'anya mtu points huo naonaga umekaa hovyo sana. Kuna watu walivuja jasho na walizipambania, jambo la busara ni kufungiwa kufanya sajiri kwa madirisha kadhaa tu.Siyo muumini kabisa wa ushindi wa mezani.
Kuna watu walitoka jasho kupata ubingwa huo.
Ni bora wapigwe faini tu kuwanyang'anya ubingwa ni maamuzi yasiyo na chembe ya haki hata kidogo.
It's unfair.