verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Yameanza kurudi
Siwezi kumlaumu Antony yule jamaa wa Palace kamsukuma makusudi halafu anamuangalia kidharau.Huyu antony utoto mwingi sana anapenda ugomvi
Kila la kheri crystal palace
OLISE man of the match [emoji91][emoji91][emoji91]
CASEMIRO RED CARD
ushindi Ndyo jadi yetu crystal Palace
Na tumewanyoga kweli 🍾Nyie wanyongaji....
Umetisha aiseeeeeNilisema lkn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjomba putin nina wasiwasi hapo kwa casemiro itakuwa ulikwenda kwa kalimanzilaNilisema lkn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hivi unaona Antony anavyoludi kuzui au wewe unaangalia magoli tu?mnamaha san na athony kisa ni mshabik wa man u anaenda kucheza cheza ujinga anamsababishia card casemiro ya kijinga ona itakavyokuja kutugarimu pengo kubwa sana athony sio mchezaj kabisa gernacho kaingia tu katoa mchango wa goli la pili mapema tu yeye anaenda kucheza kweny chaki ifike time ata kam ww ni man u ukubali athony anachelewesha ushindi
If I'm not mistaken Europa haiingiliani na EPL mkuu ! Nadhan mechi za Barca case atakuwepo !Mechi muhimu tutakazomhitaji Casemiro ni:
Barca (H & A)
Carabao Cup final
na zote atakuwepo. Wale vijana wa Palace walihitaji adabu kidogo. Nasema tena, safi sana Casemiro.