Manchester haiwezi kumsajili Osimhen kwanza bei yake tu ni kufuru.Nacheki gemu ya Spezia na Napoli..Huyu Osimhen yupo good sana on air..
Tukichukuwe hiki chuma.
Sinasikia umehamia arsenyeto![]()


Timu tokea kuumbwa mbingu na nchi haijawahi kucheza fainali ya Uefa hata mara nihamie huko kwende kufanya nini?Hapo umepuyanga Arsenal kacheza fainal Uefa 2006 vs Barcelona.Timu tokea kuumbwa mbingu na nchi haijawahi kucheza fainali ya Uefa hata mara nihamie huko kwende kufanya nini?
Yaani Flano mimi niwe mshika ukuta wa London kweli?
Hebu Carrasco putin nitake radhi aisee.
Kwa nini kiongezeke? Leeds (H), Leeds (A) na Leicester (H) bila Casemiro hizi mechi tunaweza kushinda bila shida ila sio final na Newcastle hasa hasa ukizingatia Bruno Guimaraes atakuwa amemaliza adhabu yake ya mechi 3 nl
Ni Cssemiro.Kwani Bruno ama adhabu??
OkNi Cssemiro.
Asernal is a stupid wasting our timeHapo umepuyanga Arsenal kacheza fainal Uefa 2006 vs Barcelona.
We are not in eitherVipi wakuu si tunarudi kwenye title race ama?View attachment 2507664
Umepotea jukwaa nenda Ktk uzi wa wanyama..[/QUOTE]Vipi wakuu si tunarudi kwenye title race ama?View attachment 2507664
Wewe ni kumerMpira wenyewe unaangalizia LivescoreView attachment 2507666
[/QUOTE]Sawa chiefUmepotea jukwaa nenda Ktk uzi wa wanyama..