Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi mwenyewe ujinga wa kumnyang'anya mtu points huo naonaga umekaa hovyo sana. Kuna watu walivuja jasho na walizipambania, jambo la busara ni kufungiwa kufanya sajiri kwa madirisha kadhaa tu.
Kupokonywa points na kuvuliwa ubingwa kuna make sense.

Ukiziachia timu zisajili kienyeji hautaleta fair competition.

Man City kukosea kwenye matumizi ya fedha kumewapa extra boost ya kuchukua points nyingi ambazo wasingweza zipata kirahisi.

Chukulia mfano leo Man Utd inunuliwe na waarabu waweke £3bn mezani ya usajili. Ulete mastaa wote unaowataka halafu uchukue makombe mfululizo back to back.

Adhabu ya kwanza inayo make sense ni kupokonywa points na kupokonywa makombe uliyochukua wakati unavunja sheria.

Ukiacha walipe faini, timu zitakuwa zinatorokea kichochoro hicho wakijua kuna faini za kulipa. Ila ukipokonywa points au kuvuliwa ubingwa kunawapa akili wengine kuwa adhabu ni kali wakifanya makosa kama hayo.

Naunga mkono.
 
[emoji599][emoji632]| Manchester United are aiming to sell Anthony Martial in the summer amid plans

[Samuel Luckhurst]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230206_232724_812.jpg
 
Kinachoamua bei ya mchezaji sokoni ni uwepo wa timu iliyo tayari kulipa bei sokoni. Enzo, Antony na Mudryk walikuwa overpriced kwa ssb ya timing mbovu pamoja desperation ya viongozi husika.

Antony mwezi 6 bei yake ilikuwa euro 50M, Enzo mwezi wa kwanza mwaka jana bei yake ilikuwa euro 18M, Mudryk kabla ya deal la Antony bei yake ilikuwa euro 40M. Viongozi wa United walitumia muda mwingi dirisha lililopita kukimbizana na De Jong walirudi Ajax kwa Antony muda mbovu.

Osimhem ana plan B yake sokoni incase De Laurentiis akileta bei isiyo na uhalisia. Kosa la viongozi wa United sio smart ku-strike deal kwa wakati sahihi. (Dusan Vlahovic - contingency plan)

Muda sahihi wa kununua wachezaji kwa bei sahihi ni wiki nne za mwanzo baada ya ligi kumalizika yaani kabla maandalizi mapya ya msimu mpya hayajanza(Tar 1 mwezi 6 mpaka tar 30). Nje ya muda huo usitumie head hunting strategy focus na scouting reports (e.g Ty Malacia, Malo Gusto, Kenneth Taylor)
Dusan Vlahovic hawezi kuwa chaguo sahihi EPL, he is too nice
 
Kupokonywa points na kuvuliwa ubingwa kuna make sense.

Ukiziachia timu zisajili kienyeji hautaleta fair competition.

Man City kukosea kwenye matumizi ya fedha kumewapa extra boost ya kuchukua points nyingi ambazo wasingweza zipata kirahisi.

Chukulia mfano leo Man Utd inunuliwe na waarabu waweke £3bn mezani ya usajili. Ulete mastaa wote unaowataka halafu uchukue makombe mfululizo back to back.

Adhabu ya kwanza inayo make sense ni kupokonywa points na kupokonywa makombe uliyochukua wakati unavunja sheria.

Ukiacha walipe faini, timu zitakuwa zinatorokea kichochoro hicho wakijua kuna faini za kulipa. Ila ukipokonywa points au kuvuliwa ubingwa kunawapa akili wengine kuwa adhabu ni kali wakifanya makosa kama hayo.

Naunga mkono.
Umeongea point sn, hata mm sipendi wapokonywe points wala ubingwa but timu kama PSG, Newcastle et al zitakuwa hazijifunzi.
 
Kupokonywa points na kuvuliwa ubingwa kuna make sense.

Ukiziachia timu zisajili kienyeji hautaleta fair competition.

Man City kukosea kwenye matumizi ya fedha kumewapa extra boost ya kuchukua points nyingi ambazo wasingweza zipata kirahisi.

Chukulia mfano leo Man Utd inunuliwe na waarabu waweke £3bn mezani ya usajili. Ulete mastaa wote unaowataka halafu uchukue makombe mfululizo back to back.

Adhabu ya kwanza inayo make sense ni kupokonywa points na kupokonywa makombe uliyochukua wakati unavunja sheria.

Ukiacha walipe faini, timu zitakuwa zinatorokea kichochoro hicho wakijua kuna faini za kulipa. Ila ukipokonywa points au kuvuliwa ubingwa kunawapa akili wengine kuwa adhabu ni kali wakifanya makosa kama hayo.

Naunga mkono.
Nakuelewa sana kona unayojaribu kusimamia hasa hasa kuleta funzo kwa wengine. Binafsi, naheshimu zaidi watu waliopambania kupata hayo mataji wao ni wahanga tu wa uhuni wa viongozi wa timu zao.
 
City morali sasa chini atacheza kumaliza ligi tuu maana yanayomkabili ni magumu kuliko kuchukua ubingwa, Arsenal ana game nyingi ngumu sana zinamsubiri sioni akitoboa, atapigwa za kutosha na kuanza kudrop point kama kawaida yake, huu ni mwaka wa MANU washindwe wao tuu
 
Muone huyu, kwahiyo Man Utd pekee ndo ambao hawana mechi ngumu na watashinda mechi zote.

Haya endelea na utabiri Sheikh Yahya😂😂😂
 
City morali sasa chini atacheza kumaliza ligi tuu maana yanayomkabili ni magumu kuliko kuchukua ubingwa, Arsenal ana game nyingi ngumu sana zinamsubiri sioni akitoboa, atapigwa za kutosha na kuanza kudrop point kama kawaida yake, huu ni mwaka wa MANU washindwe wao tuu
Mwaka wetu huu kaka tunaenda na quadruple

#GGMU [emoji23][emoji23][emoji23]
d1255055620f0e6a.jpg
 
City morali sasa chini atacheza kumaliza ligi tuu maana yanayomkabili ni magumu kuliko kuchukua ubingwa, Arsenal ana game nyingi ngumu sana zinamsubiri sioni akitoboa, atapigwa za kutosha na kuanza kudrop point kama kawaida yake, huu ni mwaka wa MANU washindwe wao tuu
Mkiwa mnawaombea wenzenu vibaya na nyie nao mnauhakika WA kushinda mechi zijazo?[emoji23] Hii ligi ina suprise kinyama kama za eveton Kwa arsenal ..jus lower ur expectations
 
City morali sasa chini atacheza kumaliza ligi tuu maana yanayomkabili ni magumu kuliko kuchukua ubingwa, Arsenal ana game nyingi ngumu sana zinamsubiri sioni akitoboa, atapigwa za kutosha na kuanza kudrop point kama kawaida yake, huu ni mwaka wa MANU washindwe wao tuu
nikukumbushe tu kwamba Mechi ya Man U na Leeds kesho Jumatano mtashinda na kufikisha point 45,lakini Mechi ya Jumapili na haohao Leeds nyumbani kwao mkipata DRAW mshukuru!!kwa hiyo kwa akili zako unaona Arsenal tu ndio ana Mechi ngumu eti na Man City morali ipo chini[emoji134]huo ndio uchambuzi uchwara
 
Nakuelewa sana kona unayojaribu kusimamia hasa hasa kuleta funzo kwa wengine. Binafsi, naheshimu zaidi watu waliopambania kupata hayo mataji wao ni wahanga tu wa uhuni wa viongozi wa timu zao.
Walioweka hizi sheria waliona mbali.

Kuna timu hazitakaa zifurukute hata kuchukua Carabao.

Mshahara wa mchezaji mmoja kama Degea unaweza kuwa mkubwa kuliko mishahara ya wachezaji wote wa timu ndogo.

Timu kama Chelsea ya sasa usipowafunga speed governor utakuta wamesajili wachezaji 50 tena mastaa tupu.

Yani wanakuwa na timu tofauti za EPL, UCL, FA, Carabao.

Kama adhabu ya kuvuliwa ubingwa ipo? Naunga mkono na miguu.

Timu zitumie rasilimali zao vizuri na kulete ushindani kidogo.
 
City morali sasa chini atacheza kumaliza ligi tuu maana yanayomkabili ni magumu kuliko kuchukua ubingwa, Arsenal ana game nyingi ngumu sana zinamsubiri sioni akitoboa, atapigwa za kutosha na kuanza kudrop point kama kawaida yake, huu ni mwaka wa MANU washindwe wao tuu
Man Utd kitakachotuumiza ni fatigue, injury na red cards.

Kuwa kwenye michuano 4 si kazi ndogo. Hapo unacheza kila baada ya siku 3 au 4, kwa almost msimu mzima. Sio kazi ndogo.

Mfano mzuri ni ile mechi tumetoka cheza na Crystal Palace tukaja kukutana na Arsenal iliyopumzika week nzima.

Na wachezaji wanakuwa exposed kwenye injury na red cards.

Tukiweza kwenda kwa mwendo huu itakuwa vyema sana. Na tutaweza fika mbali tunapopataka. Ila tusije fanya makosa kwenye usajili. Tupanue kikosi, sio kila mechi ni Casemiro pekee, akiumia au red card ndo kwaheri.
 
Back
Top Bottom