Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe ni kumer
Makidee haina haja ya matusi, humu tunataniana na kutambiana ili kunogosha tu ile ladha ya ushabiki.
Mtu yoyote anaetukana hovyo hua anaudhaifu fulani ambao hua anajaribu kuufichia kwenye kutukana, ila kinyume chake matusi hua yanauanika wazi huo upungufu mtu anaojaribu kuuficha.
Waungwana hua tunataniana, tunatambiana, tunakejeliana lakini sio kutukanana.
 
Manchester haiwezi kumsajili Osimhen kwanza bei yake tu ni kufuru.

Kama Napoli walimsajili kwa millioni 80 unadhani sasa hivi wanaweza kumwachia kwa pesa ndefu kiasi gani ?

Napoli hawawezi kumwachia chini 150-200.
Bei yake ni €115M. Hakutakuwa na ushindani sokoni majira ya kiangazi labda tusimtake. United ndio timu pekee inayoweza ku-afford gharama zake.

PSG wana Mbappe, City wana Halaand, Chelsea hawezi kufuzu UEFA msimu ujao - hivyo FFP itawabana kwenye usajili wa majira ya kiangazi. Madrid wanamlenga Bellingham lazima kibubu hapa kipasuke.
 
Always United [emoji3590]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230205_232151_738.jpg
 
Bei yake ni €115M. Hakutakuwa na ushindani sokoni majira ya kiangazi labda tusimtake. United ndio timu pekee inayoweza ku-afford gharama zake.

PSG wana Mbappe, City wana Halaand, Chelsea hawezi kufuzu UEFA msimu ujao - hivyo FFP itawabana kwenye usajili wa majira ya kiangazi. Madrid wanamlenga Bellingham lazima kibubu hapa kipasuke.
Yani nyiee!!😂😂😂

Ngoja nilale tu maana ya dunia mengi!
 
Bei yake ni €115M. Hakutakuwa na ushindani sokoni majira ya kiangazi labda tusimtake. United ndio timu pekee inayoweza ku-afford gharama zake.

PSG wana Mbappe, City wana Halaand, Chelsea hawezi kufuzu UEFA msimu ujao - hivyo FFP itawabana kwenye usajili wa majira ya kiangazi. Madrid wanamlenga Bellingham lazima kibubu hapa kipasuke.
Kama Anthony , Mudryk na Enzo wameuzwa 100+ Osimhen wa Napoli hawezi kuuzwa chini ya 150 unless humjui boss wa Napoli.

Koulibaly mwenyewe alimweka sokoni kwa dau la 100 sembuse Osimhen
 
Bado zinawezekana Arsenal anauwezekano wa kudrop point dhidi ya Man city, Liverpool na Chelsea.
May be kwa Chelsea

Liva imeoza,,,, pale mchezaji naemuona kiwango vile vile Ni kipa wao tu !!

City sijui wamekumbwa na Nini, wachezaji hawana morali ya kupambana ,,,, Kuna tetesi kocha amepoteza dressing room ! Seniors kama kina Kyle, kdb, gundo na cancelo unaambiwa hawana maelewano vzr na pep !

Ndo chanzo Cha cancelo kuondoka pia ,,,, ! Mechi na Spurs unamuacha kdb na gundo kweli ? City ukiwabana vzr viuongo wao haaland akikosa malisho Hana madhara !!!! Arsenal wakikaza Wana nafasi ya kumfunga Tena asubuhi tu!

Utd kuwaza ubingwa Ni too much expectation,, tupambanie top 4 ili tuwe na uhakika wa kushiriki UEFA
 
Wewe ndo unasimuliwa sasa huangalii Mimi nimeangalia sana game za Liva misimu iliopita na huu tuliopo kwakweli kusema Alison yupo kwenye kiwango ni kunajisi wanamichezo na wapenzi wa mpira....Kuanzia World cup alivuruga sana na sasa magoli anayofungwa mengne wala sio makosa ya beki lakini pia LUIS DIAZ ni mchezaji alieishape sana liva bahati mbaya injury znamwandama ila DIAZ alisaidia sanaa
 
Back
Top Bottom