Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,335
- 33,722
Imekuwa muda mrefu lakini probably nilikuwa ahead of time.bayern munich wamemsajili sabitzer kwa euro millioni 15 kwa mujibu wa vyanzo tofauti, sisi huku kwetu tunateseka na midfield ya fred, mctominay na matic.
wakati huo huo tayari bavarian wana huduma ya joshua kimmich, goretzka pamoja na tolisso ambaye yupo sokoni.
PTER ndoto yako imeshafelishwa na watu walio serious
Kama litafanikiwa huenda Bruno akawa huru kidogo kwenye kukaba kama ilivyo sasa.
Japo ball retention itapungua kwenye midfield yetu.