Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  1. Victor lindeloff amfundishe Rafael varane kupiga pasi ndefu, sidhani kama kuna pasi ndefu aliopiga ikamfikia mlengwa.
  2. Aliefanikisha ushawishi wa kusajiliwa kwa wan bissaka ndani ya karne hii ya 21 kwa takribani paundi million 55 anapaswa kuchukuliwa hatua, ni rahisi kumfundisha diogo dalot kujilinda kuliko kumfundisha wan bissaka kushambulia, overlapping, kuingia ndani, kupiga krosi n.k
Lindelof tutamkumbuka kuisaidia timu yetu kufanya build up kuanzia nyuma.

Sasa hivi tuna Maguire na Varane Maguire huwa anajitahidi kufanya progressive passing ila hawezi kumfikia Lindelof kwa passing accuracy anapofanya build up.

Ila timu yetu inatatizo jipya la kufanya transition slow sana midfield haina communication na front line pamoja na back line.

Sijui huko mazoezini timu yetu huwa inafundishwa nini....
 
bayern munich wamemsajili sabitzer kwa euro millioni 15 kwa mujibu wa vyanzo tofauti, sisi huku kwetu tunateseka na midfield ya fred, mctominay na matic.

wakati huo huo tayari bavarian wana huduma ya joshua kimmich, goretzka pamoja na tolisso ambaye yupo sokoni.
PTER ndoto yako imeshafelishwa na watu walio serious
Wakati tunateseka msimu wa 2019/2020.
Nilisuggest tumsajili Donny Van De Beek au Dominick Szoboszlai, baadae tulimsajili Bruno hitaji la Donny halikuwa priority tena.

Msimu huu wakati sakata la Pogba lilikuwa halieleweki nilisema tumwachie Pogba tumsajili Marcel Sabitzer au Dominick Szoboszlai.

Kwa sasa RB Liepzig wamemsajili Dominick Szoboszlai na mechi ya kwanza ya Bundesliga akifunga magoli mawili from right midfield na wakati huo huo wakamuuza Marcel Sabitzer kwenda Bayern.

Ili kushinda makombe unahitaji Alphamale Footballers kadhaa kikosini kikosi chetu probably kina alphamale Footballers wachache sana ndiyo maana hakioneshi kiu ya mafanikio.

Tusubiri record mpya za kitakwimu kutoka kwa Dominick Szoboszlai akiivamia Bundesliga.
 
Watu walisema Sancho ni tiba ya upande wa kulia.
Mkuu si ajabu baada ya miaka 2 tukaanza kumfukuzia Chiesa aje azibe hilo pengo la kulia.....

Mimi naona tujenge kali sana hata hiyo hoja ya sijui namba 7 itakuwa hamna maana tutakuwa tunazibuana madhaifu.....au greenwood azoeshwe tu huo upande maana Sancho bado sana
 
Mkuu si ajabu baada ya miaka 2 tukaanza kumfukuzia Chiesa aje azibe hilo pengo la kulia.....

Mimi naona tujenge kali sana hata hiyo hoja ya sijui namba 7 itakuwa hamna maana tutakuwa tunazibuana madhaifu.....au greenwood azoeshwe tu huo upande maana Sancho bado sana
Mkuu posts zako za nyuma ulihitaji sana usajili wa Wan Bissaka na Jadon Sancho iweje umpime kwa mechi moja tu ?

Mimi naamini Sancho hatafikia level ya Bundesliga ila uchezaji wa timu yetu hata Ronaldo tutaanza kumtukana.

Timu yetu haichezi ila inaingia uwanjani kubahatisha kukimbiza mpira tu.

Timu haifanyi pressing na wala haiwezi hata kupiga pass accurate tatu ??????
 
Sancho ana uhakika wa kutupa goli 15 na assist kwa msimu na ameprove hilo almost misimu mitatu ujerumani huko, Ronaldo sitaki hata kusema ila hawa wote si ajabu wasifike goli 15 msimu huu kama tutaendelea kucheza hivi.

Hatuwezi kusema sancho ameflop kwa mechi hizi 3 no bado hajasettle tu ila kwa ole inabidi akaze sana aloo tunaweza kuzalisha Martial mwingine, yote kwa yote shida ni OLE.

Si ajabu mazoezini huwa wanaenda kupasha tu na kukimbia jogging sidhani kama kuna mbinu wanafundishwa kabisa hamna pattern hata moja simple football kama yanga aaah sorry.
 
Kwa kumuweka kama potential untouched signing Kumbe Declan rice ni mzuri kuliko Ndidi na Calvin Philips?
utakapoamka huu ujumbe unakuhusu, msimu uliopita declan rice alizidiwa kwa kila kitu na fred.

1630359159882.png
 
hii nafasi tutakuja kuijutia huko mbeleni kwa sababu simuoni lingard akiingia kwenye kikosi cha kwanza.
either lingard or donny van de beek mmoja wapo alipaswa auzwe ili kuweka balance ya kikosi kwa sababu wote hao wawili Ole ameshashindwa kuwaingiza kwenye mfumo rasmi wa kiuchezaji wa kila wiki.

ngoja tuisubirie leo siku ya mwisho ya usajili itakuwaje
1630359720949.png
 
kama tutashindwa kusajili DM siku ya leo itabidi nimpe heshima huyu jamaa, kwa muda mrefu ameshikilia msimamo huu wa kwamba ole hasikii wala haoni kwa kiroba cha mchele
1630360072044.png
 
Daniel James to Leeds from Manchester United, done deal now confirmed and here we go! The agreement has been completed for €28m with add ons. Personal terms agreed few minutes ago too.
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft6e%2F1%2F16%2F1f534.png&hash=00b87179c3065a4c2ccbb049d0eeff02" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft64%2F1%2F16%2F1f91d.png&hash=913dd775f715f470e42c1ddff13ca28e" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />
#MUFC #LUFC
Medical tomorrow morning, official announcement soon.
May be an image of 1 person and text

Safi sana, haya matakataka ndiyo yanayo tucost, bado matakataka haya hapa

Martial
Lingard
Jones (huyu sina shida naye cz hachezi)
Ole.
 
hii nafasi tutakuja kuijutia huko mbeleni kwa sababu simuoni lingard akiingia kwenye kikosi cha kwanza.
either lingard or donny van de beek mmoja wapo alipaswa auzwe ili kuweka balance ya kikosi kwa sababu wote hao wawili Ole ameshashindwa kuwaingiza kwenye mfumo rasmi wa kiuchezaji wa kila wiki.

ngoja tuisubirie leo siku ya mwisho ya usajili itakuwaje
View attachment 1917303
Hilo kolo Lingard ni kwamba tulitaka kuliuza, tatizo west ham wanaleta habari za kujiangusha kama As Roma kisa mjomba tajiri.
 
View attachment 1917313
kurt zouma wamlipie paundi millioni 30 pia wanataka kumsajili tagliafico
eti lingard aliyewafungia magoli 9 tuwape kwa mkopo.
kwa hali hii ni bora lingard abakishwe, yaonekana west ham hawana heshima dhidi yetu
Siyo hawana heshima bali wanaleta habari za mjomba tajiri. Wacha Lingard abaki wapuuzi hao.
 
Tetesi 28M tumesajili 15m kama sijakosea, Faida za Dof hizi, mwaka huu nimefurahi sana usajili na namna wanavyokomaa uuzaji.
Jesse Lingard shida ni nini?..mbona hatujaweza kuvuta mkwanja?.

Tungepata hata hela ya kuongeza ubora kwenye kiungo ukiongezea na hii ya James.
 
Probably Fred amechoka sana na Copa America misimu miwili iliyopita hakuwa hovyo namna hii nachokiona sasa hivi hayuko form kabisa na kibaya zaidi partnership yake na Paul Pogba haijawahi kuzaa matunda
Fred amejichokea vibaya mno..na McTominay or Matic can't be a solution..
 
Back
Top Bottom