Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sancho siyo mbovu kiasi hicho cha kumlinganisha na Traore, hii ndiyo game yake ya kwanza anaanza kikosi cha kwanza, hii mechi ukiambiwa ufanye scouting ya mchezaji wa kumnunua hata Bruno utamkataa.

Tumekutana na tough opponent, dogo bado haja-settle, slowly atakaa poa.
Tough opponents wolves na Southampton???
 
Mnaomkosoa OGS huwa mnasoma haya maoniView attachment 1915318
We are talking about winning the trophies and not breaking some shit history.

By the way team Kama man United siyo timu ya kutamba na record za ajabu hiyo, United ni team ya kutamba kwa sababu inachukua uefa, epl etc.

Wewe unaemtetea Ole inabidi ujitathmini mkuu.

Meaning no offense 😅
 
  1. Victor lindeloff amfundishe Rafael varane kupiga pasi ndefu, sidhani kama kuna pasi ndefu aliopiga ikamfikia mlengwa.
  2. Aliefanikisha ushawishi wa kusajiliwa kwa wan bissaka ndani ya karne hii ya 21 kwa takribani paundi million 55 anapaswa kuchukuliwa hatua, ni rahisi kumfundisha diogo dalot kujilinda kuliko kumfundisha wan bissaka kushambulia, overlapping, kuingia ndani, kupiga krosi n.k
Si ndo hicho nnachosema

Hapa ole naye sasa mfumo abadilishe

4 3 3 is a nice formation
Akae dm mmoja tu
Scott au lindelof afundishwe huku dallot awekwe kwenye mafunzo
Huyo bissaka aingizwe timu inapokua inashida ya kulinda zaidi

Ila we are man utd unaweka watu nyuma nyuma ukiogopa kufungwa kama burnley bhana

Nawapenda leeds sana wao hawana mkubwa wanakujaa tu
Inawacost saa nyingine ila ipo poa sana
 
We are talking about winning the trophies and not breaking some shit history.

By the way team Kama man United siyo timu ya kutamba na record za ajabu hiyo, United ni team ya kutamba kwa sababu inachukua uefa, epl etc.

Wewe unaemtetea Ole inabidi ujitathmini mkuu.

Meaning no offense
If Liverpool had this mentality they would never have won the EPL, CL.

Patience key to success
 
Tough opponents wolves na Southampton???
Hapana! Ni timu rahisi sana hizo.
Screenshot_20210830-133220_Chrome.jpg
 
If Liverpool had this mentality they would never have won the EPL, CL.

Patience key to success
Liverpool walikuwa hawatambi na vihistoria vya ajabu Kama unavyomtetea navyo ole.

Kiufupi man United ni timu ya kubeba makombe makubwa na siyo virecord vyaajabu Kama hivyo.

Laiti Kama ungejua man United wangekuwa wanashindana na Chelsea kuchukua uefa and not those records at all
 
bayern munich wamemsajili sabitzer kwa euro millioni 15 kwa mujibu wa vyanzo tofauti, sisi huku kwetu tunateseka na midfield ya fred, mctominay na matic.

wakati huo huo tayari bavarian wana huduma ya joshua kimmich, goretzka pamoja na tolisso ambaye yupo sokoni.
PTER ndoto yako imeshafelishwa na watu walio serious
 
mkuu hii hata sijui imekaaje...muda mfupi tu hapa nimewaza kuwa Neves, Saul na Camavinga wanapatikana kwa £35mil ambayo ni pesa ndogo haswa ukilinganisha na price tags zao huko nyuma....sijui tunashindwa nini kupull deal hata moja kati ya hao watu.
 
hizi takataka tumezilea sana, natumai huyu dogo atapata kocha sahihi wa kumtengeneza
View attachment 1916634
Mkuu Daemushin umemsikia Marama akiendeleza kile anachoamini kuwa ni ubovu wa structure/shape ya timu kuanzisha,kuendeleza na kutengeneza nafasi ?
Anaamini hata tukiwa na striker wote world class bila hili suala kupatiwa ufumbuzi wote tutawaona ni bure tu
 
mkuu hii hata sijui imekaaje...muda mfupi tu hapa nimewaza kuwa Neves, Saul na Camavinga wanapatikana kwa £35mil ambayo ni pesa ndogo haswa ukilinganisha na price tags zao huko nyuma....sijui tunashindwa nini kupull deal hata moja kati ya hao watu.
Kama sijakosea,hii nnafasi imewekwa makusudi kabisa kwa ajili ya Declan Rice msimu ujao wa 2022/23
 
Back
Top Bottom