allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,331
- 10,957
Nyie hela ya pepe imewauma sana sisi kumwaga hela Kawaida tulimwaga kwa.Anthony remind me Nicolaus Pepe
Lukaku
Pogba
Sancho
Di maria
Maguire
Kwaiyo sisi kumwaga hela ni kama utamaduni wetu sio kama huko kwenu mmetoa kapaundi 70 tu lakini mnalialia mpaka leo.
Kiufupi kimkwanja sisi sio level yenu timu ijawai kusajili mchezaji hata wa paundi 80 ni timu nayo iyo.