Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja Mkuu, ila lile jukwaa lenu ni changamoto sana aiseeee, kuna vichwa mule vimevurugwa hatari, kuna watu mule walikua kila kukicha kumlalamikia Lukonga kua hafai ila baada ya kutolewa kwa mkopo haohao wanalalamika tena kwa nini Lukonga anaondoka wakati Elneny ni majeruhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani hili jukwaa la arsenal la mau u au la wanasport wote mbona arsena8 mnatuvuruga
 
Fainal ni NEWCASTLE VS NOTTINGHAM FOREST

KILA LA KHERI NOTTINGHAM FOREST [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Tuanzebe - stoke city kwa mkopo
1675251577689.png
 
Hili Dili la Marcel Sabitzer naona limeenda Chap.

Changes zilizofanyika kwa upande wa recruitment team. Sasa zimeanza kuonekana.
Inasemwa jamaa alikuwa tayari kwenye vitabu vya United.
Injuries ya Erikseen ilivyojulikana tuu. Waya ukavutwa.

Ngoja tuone Summer itakuwaje..

Tetesi( Samuel Luckhurst) zinasema tutasajili,

New GK
Younger Midfielder
Striker
 
Tuwaambie Ukweli manyua kuwa hatoki kwa Newcastle fainali Carabao au tuwaache Kwanza?
Ikifika mida ya saa tano kasoro jisogeze kwenye kibanda umiza chochote kilicho karibu na wewe ukashuhudie kwanza bakora atakazo kula Forest leo halafu uje ufute hio kauli yako ya kinajimu.
 
Back
Top Bottom