Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiama kimeanza aise na hela ndo amna hivyo.
Screenshot_20230131-141604.jpg
 
Still tuna timu competitive, japo Ericksen atakaa nje mda mrefu !!!

Wacha tuone, tunaweza kuwa suprised na usajili wa last minute ,,,,, !!!!!

Wasiwasi wangu Hawa waliopo kina case,Scott, Bruno na fred wasije pata injury,,,tuna mechi nyingi Sana!
 
Huyu marcel sabitzer (spelling Sina hakika) anaehusishwa kujiunga na sisi anaweza kuwa potential mpaka mwisho wa msimu !!!! Hakuna Namna maji shingoni, Bayern wanaweza kutukazia !

Xavi akimpata amrabat anaweza kutuachia Kessie mpaka mwisho wa msimu !
 
Tufanye jambo aisee..

Hapo middle of the park tutapoteana na hivi tuna mechi nyingi.
Sikufikiria kama majeraha ya Eriksen ni makubwa kiasi kile, endapo Marcel Sarbitzer hatutaweza kumpata ndani ya masaa machache yajayo ni wakati wa yule dogo Zidane Iqbal kuaminiwa tu.

Vipindi kama hivi ndio hutengeza wachezaji wazuri sana. Hasa hasa ukiweka imani kwa mchezaji. Nakumbuka Spurs ikiwa ya moto sana mwaka 2009/2010 chini Harry Redknapp kaki kati ya msimu mwezi wa kwanza 2010 aliumia beki wake wa kushoto alikuwa anaitwa Benoit Assou Eketto ndipo Gareth Bale alipopata nafasi baada ya Benoit kurudi Redknapp akamsogeza juu Bale kama winga. Spurs walijaribu kuingia sokoni dakika za mwisho kuziba pengo la Benoit ila Bale akamlipa Redknapp kwa imani aliyompa.
 
Huyu marcel sabitzer (spelling Sina hakika) anaehusishwa kujiunga na sisi anaweza kuwa potential mpaka mwisho wa msimu !!!! Hakuna Namna maji shingoni, Bayern wanaweza kutukazia !

Xavi akimpata amrabat anaweza kutuachia Kessie mpaka mwisho wa msimu !
Yani huyo Kassie unaona ni mchezaji takataka kabisa huyo.

Kuna Yule bwana mdogo WA Morocco kasajiliwa ndio ingebidi aje United sio hizi rejected trash
 
Sikufikiria kama majeraha ya Eriksen ni makubwa kiasi kile, endapo Marcel Sarbitzer hatutaweza kumpata ndani ya masaa machache yajayo ni wakati wa yule dogo Zidane Iqbal kuaminiwa tu.

Vipindi kama hivi ndio hutengeza wachezaji wazuri sana. Hasa hasa ukiweka imani kwa mchezaji. Nakumbuka Spurs ikiwa ya moto sana mwaka 2009/2010 chini Harry Redknapp kaki kati ya msimu mwezi wa kwanza 2010 aliumia beki wake wa kushoto alikuwa anaitwa Benoit Assou Eketto ndipo Gareth Bale alipopata nafasi baada ya Benoit kurudi Redknapp akamsogeza juu Bale kama winga. Spurs walijaribu kuingia sokoni dakika za mwisho kuziba pengo la Benoit ila Bale akamlipa Redknapp kwa imani aliyompa.
Sure tukishindwana na Bayern itabidi dogo Zidane aaminiwe,, hatuna Namna !!!

Chelsea wanataka kutia mchanga kitumbua ,,,
 
Back
Top Bottom