Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Marcel Sabitzer has arrived at Carrington.

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230131_234719_441.jpg
 
Naona tumesajili midfield, vp jamaa yuko vizuri na atafit kwa mfumo wetu? Au ni panic buy according to injuries
 
Chelsea the big Football Club (FC) and it doesn't matter what the current situations it is passing through hence every big FC has already been experienced in long term investment with what we call it "Transition period"
Screenshot_2023-02-01-06-34-53-45_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-01-06-35-19-23_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
Screenshot_2023-02-01-06-35-33-88_57c112598cf4b19b960b8407611f6342.jpg
 
Ujio wa huyu jamaa utaongeza nini cha kutuweka top4? It seems umemfatlia sana.I wish to know more atafit vp kwenye kikosi chetu hususani kipindi hiki tunachohitaji matokeo tu?
Kuna vitu vingi Sabitzer ataviongeza kwenye kikosi chetu.
Physicality ni ball career mzuri tu, long range goals ni free kick speciality, anakaba sana lakini pia ni press resistant.
 
Flano umenichekesha Sana, halafu ukiona natukanwa unaongezea petrol ,huna maana kabisa wewe
Hamna mimi nilikua upande wako, tatizo lako wewe unasoma comments harakaharaka bila ya utulivu, karudie kusoma comments zangu upya, karibia zote nilikua nnakusapport ila ajabu ukawa unanishambulia ikabidi nikaushe tu maana nilihisi tayari umeshavurugwa na wale wazee wa pingapinga.
 
Hamna tatizo lako wewe unasoma comments harakaharaka bila ya utulivu, karudie kusoma comments zangu upya, karibia zote nilikua nnakusapport ila ajabu ukawa unanishambulia ikabidi nikaushe tu maana nilihisi tayari umeshavurugwa na wale wazee wa pingapinga.
[emoji1787][emoji1787] dah
 
Kwa jinsi ninavyokukubali hua mara nyingi nasimama na wewe, ila jana sijui ulikula maharage ya wapi?
Yaani nakussuport halafu badala yake wewe unaniwashia moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe kwakweli, nlivurugwa Sana Jana
 
Nisamehe kwakweli, nlivurugwa Sana Jana
Pamoja Mkuu, ila lile jukwaa lenu ni changamoto sana aiseeee, kuna vichwa mule vimevurugwa hatari, kuna watu mule walikua kila kukicha kumlalamikia Lukonga kua hafai ila baada ya kutolewa kwa mkopo haohao wanalalamika tena kwa nini Lukonga anaondoka wakati Elneny ni majeruhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona clip zake jamaa anapiga free kicks sana pia ana magoli mazuri ni mtu wa mashuti kama bruno.
Hakufanya vizuri Bayern,,,,

Majeruhi yalimuandama Sana msimu uliopita ,,, alivyorudi akawa anastruggle kupata namba ya kudumu !!!!

Akiwa na makali Yale akiwa leizpg tumelamba dume, atatusaidia sana !

Ana mkataba na Bayern Hadi 2025, jamaa bado wanaona ana potential ndio maana kwenye mkataba wenu la mkopo hakuna kipengele Cha kumnunua mwishoni mwa msimu!

Ngoja tuone EtH atakavyomtumia na role atakazompa, kila kocha ana maono na mifumo Yale kulingana na mjezaji husika !
 
Nimeona clip zake jamaa anapiga free kicks sana pia ana magoli mazuri ni mtu wa mashuti kama bruno.
Hizo free kicks zake zimenifanya nimkumbuke Juninho Pernambucano wa kipindi kile Lyon inasumbua miaka 7 mfululizo kwenye ligi kuu ya Ufaransa.
Binafsi mimi hua ni mpenzi sana wa magoli ya nje ya box.
 
Back
Top Bottom