Injury moja muhimu ,msimu unaishia hapo hapoTatizo kubwa la Man U msimu huu ni kwamba wanacheza mechi nyingi (3) kwa wiki. Hii kitu inawagharimu sana
Hakuna marudioMechi ya marudio OT itakuwa nyepesi.
Yapo ni home n away
kweli jamaa atapata magoli kwa tabu sana hapati service hata kidogoNipo nacheki gemu apa mpk dk hii... huyu weghost hana shida wadau shida ni winga zetu anthony na rashford wabinafsi sn hawamlishi mipira
Jamaa anajiposition vizur tu na movement zke nzur
Trh 1 mzee
Weghost sio striker mbaya anahitaji muda, shida ni kwamba Manchester haiitaji muda inataka deliverer,inataka goalgeter.....Paul Merson says Manchester United should try to sign Harry Kane as soon as possible if they want to have any chance of winning the Premier League. [emoji848][emoji471]
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2495753
Man u watajikuta wanapiga marktime Hata ukimleta Lewandowiski
Daah siku hizi mna mdomo nyie ole wenu mlikose tutaanguaje kichekoHata wakati Arsenal tupo hovyo hovyo hovyo kuna mechi tukishinda nilikua sizishangilii wala sizipost. Wanangu wa United naona wote wameweka status ushindi wa jana, hivi unaanzaje shangilia ushindi dhidi ya Nottingham? Imepanda daraja, ikakosa wadhamini maskini.
Yaani timu kama hiyo ilikua hainishtui kuifunga ila ilikua inanishtua ikinifunga
PumbaHata wakati Arsenal tupo hovyo hovyo hovyo kuna mechi tukishinda nilikua sizishangilii wala sizipost. Wanangu wa United naona wote wameweka status ushindi wa jana, hivi unaanzaje shangilia ushindi dhidi ya Nottingham? Imepanda daraja, ikakosa wadhamini maskini.
Yaani timu kama hiyo ilikua hainishtui kuifunga ila ilikua inanishtua ikinifunga